Unawezaje kuiambia Mahakama shahidi yuko nje ya nchi bila kutaja yuko nchi gani na lini atarudi nchini?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?

Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.

Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?

Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
 
Ushauri: Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika na kisha watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
Bongo movie 🎬😂😂🙌 , Tuendelee kula popcorn mkuu🍿.
 
Hawawezi kwenda ,kama wataenda yafuatayo yatatokea
1.ikiwa watatoa ushahidi kuwa upande wa serikali .watalazimika lissu kuwauliza maswali hapa ndo ngumu kumeza
2.ikiwa watakuwa upande wa lissu .lissu Moja kwa moja ana advantage ya kuchomoka njia nyeupe na hapa ni kitu ambacho hakiwezekani
Unaposikia nan atamfunga paka kengere
 
Yaani option zote 2 ni ngumu kwa Jamuhuri
 
Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?

Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.

Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?

Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
ujue yuko nchi gani ili iweje kwa mfano gentleman? :1Head:
 
Atalazimishwa na mahakama ataje alikuwa wapi anafanya nini.
yaana makosa yako mwenyewe yamlazimishe shahidi ambae hana maslahi na wewe kubabaika na ramli zako?

hakuna shahidi wa mwenye shughuli zake za kitaifa, tena za kuwatumikia waTanzania wote, atalazimishwa kwenda kumtetea muhaini au mkiuka sheria mwenye kiburi kama huyo kibaraka gentleman :1Head:
 
Michezo hiyo.

Kwa hiyo watajichimbia mafichoni "eda" milele hawatoonekana hadharani kukwepa mahakama?

Kati ya vitu vyote,mahakama inatakiwa iwe huru katika hizi zilizoitwa shithole countries na yule mzee.
 
yaana makosa yako mwenyewe yamlazimishe shahidi ambae hana maslahi na wewe kubabaika na ramli zako?

hakuna shahidi wa mwenye shughuli zake za kitaifa, tena za kuwatumikia waTanzania wote, atalazimishwa kwenda kumtetea muhaini au mkiuka sheria mwenye kiburi kama huyo kibaraka gentleman :1Head:
Mahakama haina cha makosa yako bud ikikutaka hata kama siyo makosa yako utaenda tu hata kwa tanganyika jeki, labda utuambie wako juu ya sheria.
 
Mahakama haina makosa yako bud ikikutaka hata kama siyo makosa yako utaenda tu hata kwa tanganyika jeki, labda utuambie wako juu ya sheria.
nina majukumu mazito ya kitaifa, ndani na nje ya nchi,
waniletee wito siku nyingine nikipunguza majukumu ya kuwatumikia wananchi.

ufanye makosa wewe halafu usumbue wengine?
that's nonsense :1Head:
 
Back
Top Bottom