Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Sahihi
Wapo nje kwa maslahi mapana ya taifa
Wapo nje kwa maslahi mapana ya taifa
Unataka kujua Kwa faida ya nani 🤣Wapo nchi Gani?
Maana yako hapa ni kuwa mahakama haina nguvu ya kuwaita hao jamaa.yaana makosa yako mwenyewe yamlazimishe shahidi ambae hana maslahi na wewe kubabaika na ramli zako?
hakuna shahidi wa mwenye shughuli zake za kitaifa, tena za kuwatumikia waTanzania wote, atalazimishwa kwenda kumtetea muhaini au mkiuka sheria mwenye kiburi kama huyo kibaraka gentleman![]()
yaani iwe na nguvu ya kumsumbua mtu ambae hahusiki na kukiuka kwako sheria za nchi kwa makusudi?Maana yako hapa ni kuwa mahakama haina nguvu ya kuwaita hao jamaa.