Kwahiyo hii kesi haina maslahi ya taifa, waifute basi.Wapo nje kwa maslahi mapana ya taifa

Kwani watakaa huko milele, wakirudi watakutana na RB airport.nina majukumu mazito ya kitaifa, ndani na nje ya nchi,
waniletee wito siku nyingine nikipunguza majukumu ya kuwatumikia wananchi![]()
basi kaa utulie na hayo ma RB yako useless airportKwani watakaa huko milele, wakirudi watakutana na RB airport.

Kesi ni mkwamo na siyo maendeleoKwahiyo hii kesi haina maslahi ya taifa, waifute basi.
Yaani mkuu wa chombo umpelekeshe kama mkeo kweli? Nadhani unaweza kufanya monitoring ya mkeo kwa kiwango hicho unachofikiria na sio mkuu wa chombo.Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.
Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?
Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
Kula chuma hicho!!Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.
Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?
Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
Pumba tupu!.Yaani mkuu wa chombo umpelekeshe kama mkeo kweli? Nadhani unaweza kufanya monitoring ya mkeo kwa kiwango hicho unachofikiria na sio mkuu wa chombo.
Hivi ndiyo huko vijiweni mnalishana upuuzi kiwango hiki, kwamba mkuu wa chombo akitoka nchini anatakiwa atoe taarifa kwa umma? Hii nchi ina vijana wa hovyo sana kwasasa
Watasema walikuwa Uganda.Museveni atawachongea document zote mchongo.Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.
Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?
Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
watu kama hawa akilini mwao hawakujua kama inaweza kutokea jambo wakahitajika mahakamani, wao hujua tu kuwa ni watumishi wa umma watafanya kazi na kustaafu kisha kula pensheni mpaka kifo kumbe ya kutokea hutokea. Ukuu wao hawakujua haya, wao wanachojua ni wakuu ambao kamwe hawataenda mahakamaniHawa watu sijui kama watafika mahakamani
Nitaenda ngoja nitoke kwenye majukum yangu ya kitaifaHawatawezi kutokea mahakamani hata ungekuwa wewe ungeenda kweli?
Matako yako, upo kisemvule huko unashikishwa ukuta na wassira!!.nina majukumu mazito ya kitaifa, ndani na nje ya nchi,
waniletee wito siku nyingine nikipunguza majukumu ya kuwatumikia wananchi.
ufanye makosa wewe halafu usumbue wengine?
that's nonsense![]()
relax na mihemko yako useless jukwaani gentlemanMatako yako, upo kisemvule huko unashikishwa ukuta na wassira!!.

Na pia awaambie waonyeshe tiketi....Japo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.
Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?
Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
Kwa hiyo itabidi wajifiche ili wasionekane Nchini? Hii Kesi sasa ushakuwa gunia la misumari kwa TaifaJapo mimi sio nwanasheria, bado najiuliza inawezekana vipi kutoa jibu rahisi mahakamani kwa kusema shahidi yuko nje ya nchi pasipo kiuileza mahakama ni nchi gani shahidi yupo na ni lini atarejea nchini?
Tukumbuke hawa mashahidi (IGP,.CDF na DCI) ni waajiriwa wa serikali, hivyo ni lazima wote taarifa serikalini kuwa wanasafiri na ni lini wanatarajia kurudi.
Mbali na hilo, kwenye ofisi zao, hawatoa taarifa ya safari kwa walio chini yao?
Ushauri: Wakigeuka kuwa hostile witness kwa mshitakiwa, Lissu awahoji mahakamani ni nchi gani walikwenda na waliwasili na ndege gani katika hizo nchi na kupitia uwanja upi wa ndege wa nchi hudika.. Baada ya hapo, watu wafuatile kwenye viwanja hivyo kuona kama wanasomeka kwenye records za abiria waliowasili siku hiyo na ni kupitia shirika gani la ndege
Muhimu ajibu maswali Mahakama itaamuaHivi shahidi akiamua kuwa hostile witness na akakataa kutoa ushahidi upande wa utetezi inakuwaje?