Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

Maisha ni Fumbo kila mtu anayo njia yake, mshukuru Mungu kwa njia yako na usikashfu njia ya mwingine.
 
We dogo jinga sana.
Tunaitwa maafisa usafirishaji sio bodaboda
 
Boda unaowaona wengine wana masters,wengine ni watumishi wa serikali watanzania tupunguze dharau leo nacho kesho Huna sema boda wengi wajirekebishe wafate sheria za barabarani
 
Nina wasiwasi na jinsia yako mkuu
 
sheria kuu ya maisha Hasa kama ni Mwanaume..
USIDHARAU KAZI YA MWANAUME MWENZAKO
 
Mimi ni kojo la baba yangu lazima Mali zake nirithi wewe huna Cha kurithi kwahiyo unajifanya kidume eti unajipambania kumbe wazazi wako walikua wajinga na ni makapuku huna ukidume mkuu kama unahangaika kutafuta hela we ni mrembo tu๐Ÿคฃ
Maskini ndo hujieleza sana, kiazi ww(ww ni maskini). Unajikuta mwamba upo nyuma ya keyboard unajipa matumani kuwa we wa kishua. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Duh umenikumbusha zamani. Kila siku asubahi kabla sijaenda shule nilikuwa lazima niusikilize huo wimbo pamoja na ule wa msondo Ngoma unaoitwa 'kaza moyo'.

Ni ngori
 
Kaa kimya wewe mtoto wa Masaki. Hujui shida wewe. Hujui dhiki wakishua wewe..
hana umasaki wowote anaishi kwenye nyumba ya Bure, kodi yote anaweka bando kuja kuwaponda wapambanaji

โœ…โœ…โœ”๏ธ
 
Maskini ndo hujieleza sana, kiazi ww(ww ni maskini). Unajikuta mwamba upo nyuma ya keyboard unajipa matumani kuwa we wa kishua. ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
anaishi nyumba ya bure ndio maana anapata nguvu za kudharau hela za wanaume

๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Duh umenikumbusha zamani. Kila siku asubahi kabla sijaenda shule nilikuwa lazima niusikilize huo wimbo pamoja na ule wa msondo Ngoma unaoitwa 'kaza moyo'.

Ni ngori
Aseeh maroon commandos walinifanya nikiusikia napatwa na hasira mara furaha Ila childhood yetu ilikuwa unyama...,. sio sasa watangazaji wanaropoka mpaka sijui redio mimi
 
Aseeh maroon commandos walinifanya nikiusikia napatwa na hasira mara furaha Ila childhood yetu ilikuwa unyama...,. sio sasa watangazaji wanaropoka mpaka sijui redio mimi
Kabisa mkuu kizazi hiki cha nyoka kinashabikia amapiano, yaani wanarudia rudia maneno Yale yale kwenye Ngoma nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ