CHIEFMANGU
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 685
- 1,149
Nitampuuza jumla jumla, kama ana akili ataondoka na kama hana akili basi atabaki kuwa kifurushi kisicho na kazi yoyote sebuleni kwanguHivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Usingetaka kukosolewa ungeenda kuandika ukutani chumbani kwako!Hivi huku mnaingia mkiwa mmekula kweli? , hapo nimendika binafsi na hao wanawake walio ni sapoti wamefanya hivyo kwa maamuzi yao na simu zao mwenyewe , sasa wewe kinachokuwasha kitu gani?
Ndio maana nikasema binafsi ,hayo ni maamuzi yangu , wala sio hoja ya kujadili , hivyo sioni haja ya wewe kupanic kisa maamuzi ya mwingine.Usingetaka kukosolewa ungeenda kuandika ukutani chumbani kwako!
Halafu we were not even married, just living together! I released her,japo haikuwa rahisi aligoma kuachana. Akadai nimpe kodi ya nyumba, nilimpa laki 6 still akagoma. Anaenda kazini kwake akirudi analala hatugusani....usiku sana anabembeleza, nami sikulegeza kamba. Kuna siku akanichekesha "basi Sean Paul naomba uniŧomɓe kwa mara ya mwisho". Nikampa alichotaka......Yeah,maana mwishowe mngeuana mkuu
Inasikitisha sana mkuuHalafu we were not even married, just living together! I released her,japo haikuwa rahisi aligoma kuachana. Akadai nimpe kodi ya nyumba, nilimpa laki 6 still akagoma. Anaenda kazini kwake akirudi analala hatugusani....usiku sana anabembeleza, nami sikulegeza kamba. Kuna siku akanichekesha "basi Sean Paul naomba uniŧomɓe kwa mara ya mwisho". Nikampa alichotaka......
Baada ya msimamo wangu kuzidi na kuona niko serious na njia ya majadiliano imefeli akawa ananitusi kwenye simu. Sikuwahi kumjibu.
Alivizia siku moja sipo home akaja akabeba vitu vyake na kuniibia baadhi ya vitu vyangu kama pressure cooker, rice cooker, mtungi mdogo wa gas, pasi, baadhi ya vyombo vya chakula, ndoo za maji, mapazia na mashuka. Nikampigia akapokea kwa nyodo kuwa amenikomoa angetaka angehamisha nyumba yote na sina cha kumfanya! Nikala block.
Huo ndio ukawa mwisho wetu na Mchaga yule aliyechanganyika na Mrangi, mweupe peeh!
Yes, inasikitisha sana. Story nimeikata sana......Inasikitisha sana mkuu
Ushirikiano wenu utadumu milele maana ukisogea nae anasogea ukisukumia nae anasukumia lazima mzae mapancha 3 mpaka 4 kwa wakati mmojaI mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Kuna filamu na uhalisia. Ulichoandika ni filamu.Binafsi kwangu hakuna shida , kwa sababu nikioa nitakua nimeoa mtu ambae anakua huru kutoa hisia zake na sio kuishi na mimi kinafki/ mtumwa.
Waathirika wa BeijingKwanini uruhusu mwanaume akukaripie, akutukane, akupige? kwanini msizungumze kama watu wazima na pia kuna dhambi gani mkipingana kwa hoja na mkaanza kujibizana kistaarabu bila matusi wala vipigo,
Kwanini unajiona wewe mwanamke unastahili kufanyiwa hayo na mwanaume wako ila ni ukosefu wa adabu ukimfanyia yeye? Unawezaje kumtii mtu anayekupiga na kukutukana?
Bilashaka we ni single mom! Hakuna na hakutakuwa na 50/50 kati ya mwanaume na mwanamke. Kiongozi hawezi kuwa sawa kwa namna yoyote ile na anaowaongoza. Tumetofautiana kwa mambo mengi kuanzia maumbile, namna ya kufikiri, nguvu za mwili na haiba na hiyo ni kazi ya Mungu so hamuwezi kupingana nayo.Big Thank you, kwa hakika unajitambua sana, i send you my [emoji8][emoji8][emoji8]
Na unaoma sifa!? Ulioa mshirika wa biashara au mke? Nyie ndo mnafanya wanawake watudharau, kifupi nawe unahitaji mume.Mimi Mwanamke ambaye siwezi ishi naye ni yule tuu Asiyewaza maendeleo hao nimeshindwana nao wawili,
Yaani yupo yupo tuu hanipi challenge zozote za kiuchumi...
Huyo unayemsema wewe Mimi naishi naye fresh, Why? Nilikuja kugundua kua mimi nina mdhaifu mengi ya kukera yanayopelekea mtu kushindwa ku handler..
Kuchapiwa ndio kabisaaa, hilo sitishiki nalo,
Najua nachapiwa na wacha waichape,
Wakati naanza kua naye huyu demu alikua ananiganda sana, anapenda sex to the maximum... na mimi sio mtu wa Sex sana...tukawa tofauti sanaa..
Mimi mda mwingi nipo bussy usiku sana ndio nalala, ukiona nimetulia basi kuna tofari zangu za maendeleo nazipanga kichwani....
Alinisisitiza sana nimtimizie, Sio kwamba nilikua simpi mda kbsa, ila nilimpa kwa kiasi ambacho mimi naona kilitosha, Shoo siwezi daily,
Sasahivi katulia, hanigandi tena..
Ninachoamini analiwa, haiwezekani atulie tuu, kikubwa tunaenda sawa kimipango, hakuna makelele ndani.
Unachanganya maturity na theory. Kuna comment kaulizwa kama ameoa kagoma kujibu. Kuna uwezekano maoni yake ni mostly nadharia. Haya mambo yanategemea na uwepo wa mtazamo chanya kutoka pande zote mbili.Kwa maturity hii 😍, bila shaka PM imefurika na mitongozo ya warembo 😅
Zingatia neno binafsiKuna filamu na uhalisia. Ulichoandika ni filamu.
Hapo unaishi na mwanaume mwenzio.Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo
I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?