Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

binafsi kiboko kwa mke ni mkojolo, awe romantic asiwe romantic ni bakora tu,

Akininyima naenda kumsema kwao sipewi unyumba, shida ni pale ukiowa gari usiloweza kuendesha.

Umsugue vizuri atakukolomea kweli πŸ˜†πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™Œ
 
Hivi mwanaume wajisikiaje pale unapoongea nami naongea,ukijibu nami najibu,ukiuliza na nauliza,ukikaripia nami nakaripa,ukinipiga nami narudishia,ukitukana nami zito hilo

I mean mwajisikiaje kuishi na mwanamke asiyeweza kushuka au kutii hata chembe?
Kujishusha, huwa haiondoi uanaume ila ina epusha mengi.
 
Mkuu , binafsi naona mke ni mshirika wa maisha zaidi ya kuwa mtumwa wa kihisia , nae ni binadamu kuonyesha hisia zake ni jambo la kawaida kabisa , ukizuia hilo utakua umepanda sumu moja mbaya sana ya unafki.
Kwa maturity hii 😍, bila shaka PM imefurika na mitongozo ya warembo πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…