Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
 
Unashindwaje kucopy na mtu unae ishi nae 24/7?

Sio kila mtu anapenda jokes na story za paukwa pakawa.

Story ndogo imeisha we unataka uongeze script! Lazima manzi akuchoke.

Hata mimi sipendi watu kama wewe.

Nogeshwa panapopaswa kunogesha, sio kufosi maujinga.
 
Hapo mkuu anakuendesha, ameshajua upo deep kwake kutoka huwezi.

Kwa afya yako ya akili na mwili kwa ujumla, fanya haya ...

1. Tafuta mwanamke wa pembeni kuwa kama pumziko. Hii ikiwa tu uchumi na mazingira vinaruhusu.

2. Punguza mahaba kwake, punguza attention, simama kiume haswa.
 
Shukran kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom