Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Wangu naye yuko hivyo, ila akivua nguo nikaona tako na UNO lake nasahau yote... Mwanamke kaumbika huyu. Mungu nipe uvumilivu.
 
Ukiishi na mwanamke ukaona kuna mabadiliko ya Tabia analeta tabia za Ovyoo mkanye waziwazi kwamba Sipendi Unavyofoka foka kama Unaongea na mtoto au sipendi kunitumia msg za kugomba Ila kama ulimuoa akiwa na tabia hizo kumbadilisha ni Ngumu. Mwanamke ni kama mtoto mlelee na kumweka kwenye Njia inayokupendeza
 
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Kaka mkulee vzr huyo mwanamke usimuonee huruma
 
Back
Top Bottom