Mambo yalivo mengi Huo Muda wa kubelembezana unatoka wapiii????
We jamaa😂🫵Unashindwaje kucopy na mtu unae ishi nae 24/7?
Sio kila mtu anapenda jokes na story za paukwa pakawa.
Story ndogo imeisha we unataka uongeze script! Lazima manzi akuchoke.
Hata mimi sipendi watu kama wewe.
Nogeshwa panapopaswa kunogesha, sio kufosi maujinga.
Yep, kama atakubali lknMatibabu kwa maana nimpeleke hospital
Hii kitu hadi niliwauliza ndugu zake na watu wakaribu kuwa ni kweli binti ni mzima hana trauma wala ugonjwa wa akili ila majibu ninayopata ni kuwa hana ila kwa nilivyosoma nae na sasa ni tofauti sanaYep, kama atakubali lkn
Km mtu mwenyewe ndio ivo unaanzaje kumwambia si ndio ataona unamwambia ana wazimu
Anataka psychiatrist na dawa pia
[emoji23][emoji23][emoji23]Basi una kabinti kapole sana mimi ntakavyokuponda na mwiko hutosahau!
Huenda hupigi pipe vizuriWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Hahahaaa[emoji106]Chukua mali haswaa mpaka baba ako akiingalia anakuvuta pembeni kubrand familia
ela isipokuepo hayanogiBinafsi napenda mapenzi ya kupeti peti mautani mengiii
Una m bakaAkikasirika ukimgusa anakung'ata na anapiga mikelele balaa omba yasikukute kaka
Kwa shauri kama hizi za jf, utaacha kila mchumba utakae kua nae, maana kila binadamu ana madhaifu yake, au uongo 🙃 binti kiziwiwanawake dizaini yako huwa wana tabia za kimalaya na tatizo la afya ya akili...trust me! Ukiona mwanamke hafurahii kampani yako au light hearted jokes and puns jua kuwa anaye bwana mwingine anayempa attention.
Ushauri kwa mwana ni kuwa piga chini hiyo kenge tafuta mwanamke ambaye anafurahia uwepo wako na hakupi negative energy
Mi pia nimeshangaa kila mtu eti piga chini . Watu wameona hasira za huyo mdada hawajataka kujua utani anaofanyiwa kama hapendi je?Kwa shauri kama hizi za jf, utaacha kila mchumba utakae kua nae, maana kila binadamu ana madhaifu yake, au uongo 🙃 binti kiziwi
sawa jessica SIMP-sonKwa shauri kama hizi za jf, utaacha kila mchumba utakae kua nae, maana kila binadamu ana madhaifu yake, au uongo 🙃 binti kiziwi