Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Hao ndio wazuri kaka akikasirika unampa ub.oo anatulia
 
Back
Top Bottom