Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Jibu japesi tu siuna mpa Hela , au kama haumpi Hela basi ana kutumia tu kwaajili ya kumaliza genye zake lakini upende as upendo haupo hapo, kwanza mtu akikupenda huwaga anakuwa na fear of unknown anakuwa ana hofu kuogopa kukupoteza so in automatically ways lazima ata act as decent person hata kama huo u- decent Hana

Shtuka Mzee ndio kwanza unaanza mapenzi Nini !? Una umri Gani kwanza tuanzie hapo
Haombi ombi pesa mara nyingi namuunga vifurushi tuchati

Nimewahi kuhusiana ila hayakuwa serious naweza kusema nilikuwa nachapa malaya huyu tunafahamiana na ni wanyumbani kabisa wazazi wake na wangu wanafahamiana nilitaka ikiwezekana nimuweke ndani
 
Basi mchunguze Kuna mwanaume anaye mpenda zaidi Yako mwanamke akimpenda mtu hawezi kumuwekea standard
 
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
atakua masai
 
Back
Top Bottom