Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

huwa najitahidi kufanya hivyo pia,, kabla ya mwisho wa mwez huwa napangilia kila kitu mpka natenga na ka alf 20 ka kununua choma kilo na vi juice vya flying fish hata viwili na mambo yangu yanaenda vizuri,,

hapa kati mambo yaliingiliana nikajikuta uwani kwenye mikopo😪 sikua na namna ila kila kitu kitakua sawa,,,,,

hao wavimba macho watanifanya nijikwae si unajua sina ujasiri wa kutembea kwa watu wengi😄😄😄 nitajikwaa
Choma na samaki anaepaaa 😁

Tunahitaji discipline ya hali ya juu kwenye mambo yanayojitokeza ghafla, hii nayo huwa inarudisha nyuma. Kama dharula haisababishi mtu kufa na inavumilika unavuta subira . Ukimaliza hilo usijichanganye tena tajiri

Kuna watu wana macho makali kama mishale ya sumu 😊
 
ewaaaa mule mule kweny vitu vyangu

siwezi kurudia nimekoma kabisa,,,,, 😄😄😄 why mishale ya sumu dah 👐
 
😁😁 Unaweza jikuta hulali, kisa mikopo kaa mbali na mikopo kama unataka ufanikiwa kifedha na kiuchumi

Unaangaliwa hadi unata kuanguka ndio macho makali hayo au unakuta mtu unatazamwa ghafla unapoteza amani ya roho😁😁
 
Squiz mapenzi hayataki kudekeana dekeana kama hauko stable kiuchumi otherwise umroge
Sasa mkuu, alitaka nimnunulie kijora nikapiga misele nikaja nacho kwenye begi nikataka nimtanie kidogo nikamwambia twende sokoni tukanunue ila tulipotoka nikaenda kuzulula nae maeneo na kupata ice cream nikamwambia turudi akauliza kwahiyo kijora nikamwambia sina ela kwa leo mpenzi akakasirika hatariii kiasi cha kuongea peke ake njiani

Tulivyofika home nikam-suplize kwa kumpa zawadi aliyotaka nikajua atashusha hasira ndio kwaanza anazid kupaniki eti kwanini nimdanganye na hadi akaondoka

Sasa hapo uchumi unahusikaje
 
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Huyo dawa yake kuwa bize usipige nae stori nyumbani fika oga kula kalale usipe muda kabisa wa kuwa karibu ma wewe kistori yeye mwenyewe atajishusha
 
😁😁 Unaweza jikuta hulali, kisa mikopo kaa mbali na mikopo kama unataka ufanikiwa kifedha na kiuchumi

Unaangaliwa hadi unata kuanguka ndio macho makali hayo au unakuta mtu unatazamwa ghafla unapoteza amani ya roho😁😁
haya tutaonana badae hebu tusijaze uzi wa watu😄😄 imetosha kwa leo (kwenye huu uzi) ila tukikutana kwingine tutaanzisha vingine
 
Sasa mkuu, alitaka nimnunulie kijora nikapiga misele nikaja nacho kwenye begi nikataka nimtanie kidogo nikamwambia twende sokoni tukanunue ila tulipotoka nikaenda kuzulula nae maeneo na kupata ice cream nikamwambia turudi akauliza kwahiyo kijora nikamwambia sina ela kwa leo mpenzi akakasirika hatariii kiasi cha kuongea peke ake njiani

Tulivyofika home nikam-suplize kwa kumpa zawadi aliyotaka nikajua atashusha hasira ndio kwaanza anazid kupaniki eti kwanini nimdanganye na hadi akaondoka

Sasa hapo uchumi unahusikaje
Tafuta kitoto cha elfu 2 tu mkuu bila shaka huyo mkeo ni kibonge
 
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Anaitwa nani kwanza?
 
Afya ya akili
Bipolar au depression
Na kaanza nayo zamani
Ni vile tu hatushughuliki na tunaona ni mambo ya kawaida, mtu hata kama ana tatizo anaambiwa ana tabia mbaya. Anahitaji matibabu huyo, hamna mtu anakuwa hivo tu bila sababu
 
Wakuu,

Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!

Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.

Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
Hakupendi na hakuheshima..... Another single Maza coming
 
Back
Top Bottom