Stress hizo au ana childhood attachments!Bado namsikizia kama atabadilika kusema ukweli ni mkali balaa kila kitu kwake hakifai ukimzila haipiti siku moja anakutafuta na kusema mbona upo kimya kiufupi simuelewi
Kinachoniua ni huruma nikishamtumia mdada nikitaka kumuacha kuna kahuruma kananijia hasa ukizingatia na hali ya maisha ya sasa ulimwengu umevaa gauniStress hizo au ana childhood attachments!
Hawezi kubadilika mpaka umvumilie sana! Uende naye taratibu kwa kumuelekeza! Kama huwezi mweke kando dunia itakunyooshea mtu mwanetu!
Huyo hakupendi. Inawezekana anazitaka fedha zako lakini wewe anaona ni kero kwake. Mwanamke anayekupenda anapenda sana akitaniwa na mpenzi wake. Au pengine... wewe una utani wa kijinga na ameshakusoma na kuona ni kama zuzu.Wakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
She has to learn it in a hard way! Usimuache jaribu kumpa funzo tu ukianza kumuignore vitu vya kijinga deal na kusudi la kukutana kwenu..Kinachoniua ni huruma nikishamtumia mdada nikitaka kumuacha kuna kahuruma kananijia hasa ukizingatia na hali ya maisha ya sasa ulimwengu umevaa gauni
tayali nishajichanganya huku🤦♀️😄vikoba na wewe hata hamuendani 😁😁
Tutakutoa kwa fimbo 😁😁tayali nishajichanganya huku🤦♀️😄
ngoja nimalizie hii round ya mwisho alf niachane na haya mambo maana nishaanza na kukonda😄Tutakutoa kwa fimbo 😁😁
Hapakufai hata kidogo, ni addcition hiyo kama wanaocheza aviator
😁Bora ukonde kuliko kushindwa kulipa deni ..ngoja nimalizie hii round ya mwisho alf niachane na haya mambo maana nishaanza na kukonda😄
Tatizo ni hapo kwenye kubembelezaWakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
nipo mwisho karibu kabisa na kushindwa ndugu yangu🤦♀️,, nikikwama nitakupigia simu tajir angu😊😁Bora ukonde kuliko kushindwa kulipa deni ..
😁😁😁 sasa nimejua kwanini watu usiku hawapati usingizi na kwanini wengine tunapata usingizi... Nimejua hili baada ya kuwa mbali na aina yoyote ya deni usiku nalala kama katotonipo mwisho karibu kabisa na kushindwa ndugu yangu🤦♀️,, nikikwama nitakupigia simu tajir angu😊
Afu wewe bana!! Comment ya kwanza umeleta ile VAR hadi mwenye JF yake amecheka 😂Kwa comment hii inaonekana tatizo ni wewe na sio yeye,
Kuna msemo unasema;
Kila mtaa huwa una kichaa wake, kama mtaani kwenu hakuna kichaa, jichunguze huenda ni wewe.
Panapohiajika pesa anataka kutumia akili zake😃Umejaribu kumtania kwa kumpa pesa?
kwani mpka nyie madon huwa mnakopa na kukopwa? 😄😁😁😁 sasa nimejua kwanini watu usiku hawapati usingizi na kwanini wengine tunapata usingizi... Nimejua hili baada ya kuwa mbali na aina yoyote ya deni usiku nalala kama katoto
Piga chini.Wakuu,
Hapa nimeyakanyaga. Yaani, hata kitu ni kidogo au unamtania - yeye anakuja juu na kufokafoka. Ile wewe unaita kunogesha penzi na tu-story twa hapa na pale, yeye kwake ni kero!
Ana sura nzuri, umbo zuri; na hatujaoana.
Kuishi kwingi, kuona mengi. Wenzangu mlioishi kwingi, watu kama hao mliishi nao vipi?
😁 Ukweli siku hizi nimetoka kwenye kundi la kukuopa labda nakopesha tu, kwa kiwango cha maisha nilicho barikiwa.kwani mpka nyie madon huwa mnakopa na kukopwa? 😄