Unawezaje kuishi na mwanamke mwenye hasira kali na mrahisi wa kuzila na kufoka?

Shukran kwa ushauri nitaufanyia kazi
Utaufanyia kazi ushauri wa kutafuta Mwanamke wa pembeni!
Umesahau kiapo chako cha hapa JF?

JF VAR CHECK

Badala ya kuona mna mazungumzo ambayo yanalenga kuonesha mnatokaje kwenye changamoto fulani mnazopitia yeye anakuona mnapiga stori asizozitaka.(Inaonekana mnaweza kukaa pamoja hata masaa 4 lakini haoni ukizungumza kuhusu mipango ya maisha)
Kuna siku aliomba nimpe elfu3 nikamtumia elf10 kisha baada ya siku kadhaa nikamwambia unaonaje nikufungulie biashara x uwe unaokota okota hapo ikiwa ni malengo ya kujiwekezea

Jibu likawa: nitakurudishia hela yako maana yote hayo kwakuwa nilikuomba hela nikakausha akituma meseji sijibu anakuja kuniambia ningekuwa na mtaji ningeuza vitambaa na vijora kwa kukopesha pia sikumjibu
 
Utaufanyia kazi ushauri wa kutafuta Mwanamke wa pembeni!
Umesahau kiapo chako cha hapa JF?

JF VAR CHECK

😆😆😆 Mkuu ushauri niliochukua hapo ni no2 ya kupunguza mahaba huo namba moja nimechanganya na zakwangu

NB, wakuu server zenu ziko vizuri
 
ila utani upo mnooo kwa watu wanao pendana, sasa huyo wa kwako sijui atakua na shida gani
Anafoka kweli na anaweza kukasirika hadi analia kwa kitu kidogo mpaka unashangaa hiki tu ndio kikukasirishe!

Mfano kuna weekend tulitoka out, tukiwa beach nikamtoroka nikaenda sehemu hanioni akapiga simu uko wapi nikamtania nimetoka ukimaliza utanikuta sehemu fulani alooh uo msala haukuwa wa nchi hii alipanic Ile serious hadi usafiri aligoma kupanda na alipuyanga kivyake na tulipokutana homu anafoka hatari eti kwanini nimemdanganya
 
hata kama ni mimi lazima ni panic sasa huo ndo utani gani? kwanza mna miaka mingapi 🤔, usikute bado ni under 25
 
Kwa comment hii inaonekana tatizo ni wewe na sio yeye,

Kuna msemo unasema;

Kila mtaa huwa una kichaa wake, kama mtaani kwenu hakuna kichaa, jichunguze huenda ni wewe.
 
Kuna siku aliomba nimpe elfu3 nikamtumia elf10 kisha baada ya siku kadhaa nikamwambia unaonaje nikufungulie biashara x uwe unaokota okota hapo ikiwa ni malengo ya kujiwekezea

Jibu likawa: nitakurudishia hela yako maana yote hayo kwakuwa nilikuomba hela nikakausha akituma meseji sijibu anakuja kuniambia ningekuwa na mtaji ningeuza vitambaa na vijora kwa kukopesha pia sikumjibu
Endelea kumsoma ili kuweza kumfahamu vizuri

Huyo anaonekana ana hasira za karibu

Kama una mpa hela bado ana hasira, basi jitahidi kumkaza vizuri, huenda hafiki kibo hivyo kumfanya kuwa na vihasira vya hapa na pale
 
hata kama ni mimi lazima ni panic sasa huo ndo utani gani? kwanza mna miaka mingapi 🤔, usikute bado ni under 25
Mnafanya mambo kwa userious sana wakuu sasa hapo kinachofanya upanic ni nini na baada ya kupiga simu nilijitokeza hata sikuwa mbali shida iko wapi
 
Kwa comment hii inaonekana tatizo ni wewe na sio yeye,

Kuna msemo unasema;

Kila mtaa hua una kichaa wake,kama mtaani kwenu hakuna kichaa,jichunguze huenda ni wewe.
huyu anamichezo ya kitoto, sasa mmetoka out kuijoy alf anamkimbia mwenzie kwa kisingizio cha utani? kwa hasira zangu ningemuacha siku hiyo hiyo
 
Mapenz ni utoto hata hivyo,,, mtu mzima na akili yako waweza nyonya nyonyo ambalo halitoi maziwa kama sio utoto ni nini
 
Back
Top Bottom