AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Umemaliza kila kituMwanamke anatabia ya kukusoma kwanza ndio anaanza kukuendesha kutokana na jinsi ulivyo.
Hapo tatizo ni wewe kuna siku ataanza kukupiga makofi
Umemaliza kila kituMwanamke anatabia ya kukusoma kwanza ndio anaanza kukuendesha kutokana na jinsi ulivyo.
Hapo tatizo ni wewe kuna siku ataanza kukupiga makofi
Kama wa Tanga ana mashetani huyo.Kweli Mungu hakupi vyote mtoto sura na umbo zuri lakini tabia 0
Hatujazaa wala kuoana ndio tupo internship tunachunguzana
NB, Ni mtu wa tanga
Kumbe bado hujaoa kijana, achana na huyo mwanamke. Pia elewa ndoa haimbadilishi mwanamke.Kweli Mungu hakupi vyote mtoto sura na umbo zuri lakini tabia 0
Hatujazaa wala kuoana ndio tupo internship tunachunguzana
NB, Ni mtu wa tanga
Ndugu zakeBaba ake kafa
Nipe namba yake nimfokee,Baba ake kafa
hupendwiKwa huyu nikimkazia ni kila siku nikumpiga mangumi hana mahaba kabisa ni full mistress mda wote
Coz anakutumia kama mtoa huduma ''Service provider''Assume kufoka kote huko ukimkaushia anakutafuta na kulalamika kwanini simtafuti
kwanini unamwambia ukweli?😄Coz anakutumia kama mtoa huduma ''Service provider''
Mtu kama huyo hafai. Hakuna mahaba mtu anakasirika kasirika kila mara sasa ndo nini?.. Mfanye abadilike, awe na utu na utulivu. Kama hawezi kujitwist Achana naye.Wakuu hapa nimeyakanyaga yani hata kitu ni kidogo au unamtania yeye anakuja juu na kufokafoka ile wewe unaita kunogesha penzi na tustory twa hapa na pale yeye kwake ni kero
Kuishi kwingi kuona mengi wenzangu mlioishi kwingi watu kama hao mliishi nao vipi