Kwa huyu nikimkazia ni kila siku nikumpiga mangumi hana mahaba kabisa ni full mistress mda woteMwanamke anatabia ya kukusoma kwanza ndio anaanza kukuendesha kutokana na jinsi ulivyo.
Hapo tatizo ni wewe kuna siku ataanza kukupiga makofi
Shukran kwa ushauri nitaufanyia kaziHapo mkuu anakuendesha, ameshajua upo deep kwake kutoka huwezi.
Kwa afya yako ya akili na mwili kwa ujumla, fanya haya ...
1. Tafuta mwanamke wa pembeni kuwa kama pumziko. Hii ikiwa tu uchumi na mazingira vinaruhusu.
2. Punguza mahaba kwake, punguza attention, simama kiume haswa.
Kweli Mungu hakupi vyote mtoto sura na umbo zuri lakini tabia 0Kama hamjazaa na hamna muda mrefu,muache haraka! Utakuja juta mkuu!
Sio mnyakyusa huyo au mgogo!