Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Nishajaribu hao wa thate Hakuna kitu majanga matupu wengi wana mahusiano yao ya muda mrefu
Sasa vumilia hivyo visanga vyake, huko mpaka akili imkae sawa, mpe walau miaka 4 mbele, na hapo omba Mungu asijerudi kwa binti mdogo wa 26- 28
 
Kwaiyo hitimisho ni kuwa kuwasiliana na mpnz wako mara kwa mara unapenda ni vile hujapata wa kuendana nae

Na kusema hivyo hata wangu atakuwa na wake wanaoendana na kwangu haoni hiyo. Anyway Ngoja mvua inyeshe tuone panapovuja
Au mi na wewe ndo tunaendana
 
Nakubaliana na uliyoyasema ila sidhani kama ni afya kupitisha siku 3+ bila kuwasiliana na mwenza wako katika hali tu ya kawaida.
 
Jinsi mwanamke anavyozidi kuwa na mdomo ndivyo mwanaume anavyozidi kuwa mkimya. Vice versa's true...

This' fact...
 
Mwanamke akiwa jobless/ kazi yake sio ya kumfanya awe bize sana kelele kama hizo ni lazima yaan ni lazima ziwepoπŸ˜€πŸ˜€
 
Hivi hamsikii kinyaa kutumika na kila mtu?
Wewe kila siku una husiano jipya na watu tofauti tofauti, huogopi maradhi?

Kweli upewe tuzo na sio ya kuteseka tu mpaka ya kuchanua mapaja hovyo.
 
Hivi hamsikii kinyaa kutumika na kila mtu?
Wewe kila siku una husiano jipya na watu tofauti tofauti, huogopi maradhi?

Kweli upewe tuzo na sio ya kuteseka tu mpaka ya kuchanua mapaja hovyo.
Make sure unapo mjudge mtu uwe una huwakika✍🏻
 
Make sure unapo mjudge mtu uwe una huwakika✍🏻
Uhakika si thread zako unazotupia episode za mabwana zako..!!

Nwei, hii episode ya ngapi?
Mara ya mwisho nilikushauri kuhusu anayekutafuta akiwa na nyege tu ila wewe ukiwashwa hataki..!! πŸ€ͺ😹

Siku hizi nipo sana jukwaa la siasa huku napita mara moja..!! Uwe unanitag episode mpya ukitupia 😹😹
 
Aaaah mkuu ujue wanaume kama sisi ni wachache sana duniani, tunatafutwa wa mbegu ila hatutaki, alafu unasema wa ajabu ajabu tena πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Tatizo ndo lipo hapo kwa umri, siyo size yako, rika lako wewe ni kaka yake mkubwa au babaake.

Pili, kazi ya mawasiliano inafanywa na mwanaume mwanzoni wakati wa kutongoza. Akisha chakata mbususu tu hilo jukumu linahamia kwako (mwanamke)
cocastic umemuelewa huyu! Tumesoma darasa moja, nywenywe, hamia kwa ndevu salimisha mjengo wa chugga
 
cocastic umemuelewa huyu! Tumesoma darasa moja, nywenywe, hamia kwa ndevu salimisha mjengo wa chugga
Nimemuelewa vizuri, shida iko hivi hao unaosema wa umri au rika tajwa au sahihi unakuta tayari ana mke, familia na mji wake? Je inakuaje hapoo??

Au km hajaoa, bas yuko na future woman ambaye yeye anamuona km wife siku zijazo? .

Nachoka kwa kweli, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kijana yeyote wa umri huo ndio anapaswa kuwa hivyo,,,,sio simu nyiiingi utafikiri mnafanya biashara ya udalali kwa wiki inatakiwa akupigie simu mara moja nayenyewe muongee dakika moja,,,,maswala ya kuongeaongea waachie watoto waliomaliza form 6 mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…