Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Kulingana na mimi kuwa first born au last born, hakuna uhusiano na jinsi utakavyobehave katika mahusiano, labda malezi ua mtu anapotokea ndio inaweza kuchangia. MALEZI na sio nafasi ya kuzaliwa.
Au Kabila maana ni ngosha
 
Eti Niko vere hapi ......🐍🐍🐍
 
Mmh Ngoja nimpe muda nisifanye haraka
 
Hivi tumechart saa5 mpk sasa hajanitafuta na hapo bila kumuanza anaweza potezea mpk kesho anaanza kuniforwadia reels za Instagram πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe toka saa tano asubuhi mimi SIJAMTAFUTA TOKA MWEZI mzima ndo kanitafuta majuzi usiku ndo kuchati weeeh lakini baada ya hapo kimya mpaka Leo
 
Mamtu shtuka..
Hao ndio mabingwa wa Romantic..wanajua kila kitu Mamtu.
Ukiona huchatishwi na anayekuita Mamtu ujue umeisha muda.
 
Mamtu shtuka..
Hao ndio mabingwa wa Romantic..wanajua kila kitu Mamtu.
Ukiona huchatishwi na anayekuita Mamtu ujue umeisha muda.
Hili neno lilikuja kama utani.. tulikuwa tunawajadili wanaoitana hivyo kwa hivyo ndio imekuwa kama sehemu ya utani.. japo Kuna jina la Utani ambalo tunaitana siwezi kuliweka hapa nitafungua code mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe toka saa tano asubuhi mimi SIJAMTAFUTA TOKA MWEZI mzima ndo kanitafuta majuzi usiku ndo kuchati weeeh lakini baada ya hapo kimya mpaka Leo
Ni mahusiano hayo au.. na huyo mwanamke mnapendana kweli au mbapotezeana muda
 
Sema nina majonzi
Ya vijana waliokatiliwa sina mood ya mapeni japo nyege shindili
Ni hivi ..mwanaume asiependa mawasiliano na wewe automatic tu hawi romantic kwako(ila sio kwamba hayajui mahaba)
Na pia automatic hata kutomb@na nae anakua hana mzuka na wewe

Mimi nimeolewa na mtu wa namna hiyo
It took me 7yrs to figure out what to do
Now tupo ok
Usifanye hilo kosa wewe na yeye biashara yenu ni mapenzi(unless kuna kitu kingine unataka) ila kama ni mapenzi ,kupigana miti na kufurahi
Tafuta mtu mwingine
Kilichofanya iwe nae ni mapenzi sasa kama uyapati unaendelea nae waninj
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Ila wanaume wanajua kutuendesha aisee
 
Tuna miezi 2 hivyo sijawahi kumuomba hela.. maana kwenye kuonana alinitumia nauli na muda wa kuondika alinikatia tiketi na poket money ya kutosha ambayo still bado ninayo.. hivyo kama nitaishiwa kabisa ndio nitamuomba
Endelea kuvumilia kipenz huenda akabadilika mapenzi nayo kuna mda hayashauriki πŸ˜€
 
Huduma ndio inapaswa iwe tiketi ya mateso? Ahudumiwe yeye mlemavu?
Nimezungumza hivo ili kutofautisha tabia za watu
Kunawanaume ni rahis na wepes wa mawasiliano ni 24 hours ndio anaona ni upendo

Kuna ambao ni material thing yeye ni huduma kulipa bills ndio anaona ndio namna ya kuonyesha upendo

Kuna wenye zote kwa uwiano sawa ndio nilichotak kusema acha ubahili bro mpe hela huyo dada
 
Hilo lingine uniambie na wewe ndio ulivyo mawasiliano ni changamoto kwako huwezi kuwasiliana mara kwa mara.. unakaa siku 2 bila kuwasiliana na ukimtafuta huna excuses yoyote
Hilo ninalo, kama sikosei kwa lugha ya kitaalam inaitwa avoidant attachment personality; yaani tunapenda kujitosheleza kihisia maana Kuna hofu ya kuumizwa tukijiachia kimapenzi
Huyo jamaa Yako kama hana wanawake wengine unaweza kushangaa hata mkianza kuishi pamoja atakuwa hivyo hivyo (akienda kazini hakutafuti mpaka umtafute au atakutafuta anavyotoka jioni)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…