Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Mwambie tu kiumri hawaendani,kesha kuwa mshangazi,kijana wenzake ni wa kuanzia miaka 19
Atafute mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea
Hii kitu mnafanya watu huko nje wavurugwee?
Kwanini lakiniii??
 
Wewe unamuona mwanaume wako kumbe na yeye yuko na mwanaume wake
 
narumuk njoo usome hapa.
 
Yeah ni kweli even nilipokuwa kwake anaenda kazini ukiona simu yake ujue anauliza kama umekula basi mpk akawa anajishtukia mwenyewe kwamba anajiuliza mimi namchukuliaje anavyokuwa kimya na nipo kwake.. nikamwambia tu kwasababu ya kazi yako nitaenda hivyohivyo
 
Yaani huko mwishoni sijakuelewa au nipe njia ulizotumia kucopy hiyo hali

Kinachonikwamisha kutoka kwake ukiachana na poor communication ila ni mtu ambae vingi tunaendana.. na hata akipata muda tukaongea tunaweza ongea hata masaa3.. story Hii tunaamia nyinginee Hakuna kupoa lakini ndio mpk awe na mood.. kuna wakati ndio hivyo tunazinguana unampigia simu hapokei
 
Acha janja ya kutoa watu kwenye reli. Agenda yetu ni D9.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…