Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Maelezo haya yangelitolewa na mwanamme ingelikuwa ni agenda.Tukiwa tuandelea kujiandaa na tarehe 9 kuelekea uhuru wa Tanganyika nimeona nilete swali kama hoja pamoja na maswahibu yangu
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano jf
Nipo na huyu Kijana mwezi wa pili sasa lakini Naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda..
Huyu jamaa angu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele.. anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani.. halafu hayuko romantic yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu) sawa haina tatizo maana nishazoea
Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza.. kuna kipindi ilipita siku 2 hatuwasiliani nikamtafuta kwa kutuma na kupiga simu hakunijibu.. na mimi nikakausha akaja kunitafuta tena yeye..
Sasa mimi inaniumiza nawaza au kwasababu jobless maana maandamano yamefanya nipoteze kazi nipo home tu labda ningekuwa na kazi ningekuwa bize.. maana unakuta unatamani kuongea na mpenzi wako ila haoneshi ule utayari ama ushirikiano inanifanya nakata tamaa
Ningeweza kumuacha lakini nimeona nijaribu kumvumilia mwisho wa siku naweza kujikuta nabadilisha mahusiano kila wakati.. ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 26/27
Nimeona naweza kutengeneza nae maisha maana wote ni vijana ila sijajua kwa upande wake kama ananihitaji
Naombeni njia za namna ya kuishi na mwanaume wa namna hiyo.. ambae anaweza kukunyamazia tu bila sababu..
Na kama hanifai pia mnaweza mkanambia
Acha kujipa umuhimu kwenye maisha ya watuTukiwa tuandelea kujiandaa na tarehe 9 kuelekea uhuru wa Tanganyika, nimeona nilete swali kama hoja pamoja na maswahibu yangu.
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF.
Nipo na huyu Kijana mwezi wa pili sasa lakini Naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda..
Huyu jamaa angu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele.. anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani.. halafu hayuko romantic yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu) sawa haina tatizo maana nishazoea.
Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza.. kuna kipindi ilipita siku 2 hatuwasiliani nikamtafuta kwa kutuma na kupiga simu hakunijibu.. na mimi nikakausha akaja kunitafuta tena yeye..
Sasa mimi inaniumiza nawaza au kwasababu jobless maana maandamano yamefanya nipoteze kazi nipo home tu labda ningekuwa na kazi ningekuwa bize.. maana unakuta unatamani kuongea na mpenzi wako ila haoneshi ule utayari ama ushirikiano inanifanya nakata tamaa
Ningeweza kumuacha lakini nimeona nijaribu kumvumilia mwisho wa siku naweza kujikuta nabadilisha mahusiano kila wakati.. ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 (26/27).
Nimeona naweza kutengeneza nae maisha maana wote ni vijana ila sijajua kwa upande wake kama ananihitaji
Naombeni njia za namna ya kuishi na mwanaume wa namna hiyo., ambaye anaweza kukunyamazia tu bila sababu..
Na kama hanifai pia mnaweza mkanambia.
Hiyo tabia wadada wengi mnayo, nafikiri kwasababu mnatongozwa sana, hivyo mna reserve ya kutosha, unakua wa kwanza kumtafuta mtu kila saa, anakujibu vizuri tu, mwisho unaona huu uzito wa mahusiano wa kuubeba watu wawili naubeba mwenyewe, ngoja nipumzike, usipomtafuta ili uone kama atajali, hakutafuti, ukikaa kimya ndo mahusiano yanakufa, kumbe inauma eeh π #mkukikwanguruwe kadogo2 AaliyyahNishajaribu kaka yake nao ndio walewale nikasema nimkubali age mate but nae mateso
Mimi sina shida hata kila siku nikimtafuta mimi nachotaka ni ushirikiano kama nakutafuta basi onesha una thamini .. sio napiga simu hupokei umekuta nimepiga haunicheck unakaa siku 2 ndio unanicheck na unaongea as if nothing wrong.. hiyo ndio kitu inanikwaza
Ankoo kwema?Hii kitu mnafanya watu huko nje wavurugwee?
Kwanini lakiniii??
Hapo ndo huyo mdada anakupenda, ila support hakupi, jiulize asingekupenda ingekuaje ππ Xiao qui shuiMimi kuna mwanamke hajawahi kunipa hata kazi halafu ananing'ang'aniaaaaa khaaaa sasa kila nikimpa future plan anaguna na kusema we pambana badala ya kutoa support weeeh hii kazi siweziπππ
Kwa mada gani ya kukutoa wewe kwenye reliAcha janja ya kutoa watu kwenye reli. Agenda yetu ni D9.
Hujakosea Ngoja na mimi niwe kama wadada wa mjini nipende pesaHaka kadada mapenzi yanakatesa sana.
Njaa inapunguzikaPunguza njaa
AsanteMaelezo haya yangelitolewa na mwanamme ingelikuwa ni agenda.
Lakini kutolewa na mwanamke, hata bila maelezo kutoka upande wa pili, mimi nahukumu!
Huyo 'mmeo' utoto mwingi kichwani, unamuona kama makamo yenu mnalingana mpo sawa, kumbe unakosea 'umeolewa' na mtoto sana kwako.
Wee ulisikia wapi mwanamke ananuniwa au kuringiwa, yaani anakuzira kabisa hadi siku mbili badala ya kukudekeza kiromance, haya ni maajabu ya dunia sasa!
Kama unataka na kama inavyoonesha kutokana na maelezo yako, unapenda amani, upendo, furaha pamoja na utulivu katika mahusiano, basi huyo jamaa hakufai, kuendelea naye huku ukijipa moyo ni kujipotezea muda wako, maana tabia ni kama ngozi, haiwezi kubadilika.
Hauwezi kuanza kupata manyanyaso ya mapema katika penzi changa, halafu ukategemea 'mkizeeshana' ipo siku utapata furaha kutoka kwa huyo mbinafsi wako, never on earth.
Sasa mimi ndio nafanyiwa hivyo sijamfanyia mtu hivoHiyo tabia wadada wengi mnayo, nafikiri kwasababu mnatongozwa sana, hivyo mna reserve ya kutosha, unakua wa kwanza kumtafuta mtu kila saa, anakujibu vizuri tu, mwisho unaona huu uzito wa mahusiano wa kuubeba watu wawili naubeba mwenyewe, ngoja nipumzike, usipomtafuta ili uone kama atajali, hakutafuti, ukikaa kimya ndo mahusiano yanakufa, kumbe inauma eeh π #mkukikwanguruwe kadogo2 Aaliyyah
ππ na mimi nina hisiaNyuzi zako nyingi ni za malalamiko tuuu, inaonesha mapenzi sio fungu lako achana nayo njoo tufuge kuku
HayaHuyo ana wake au ana stress za maisha, jaribu kuchunguza.
Mimi niko vizuri upande wa mawasiliano nikiwa na mtu wa hivo nateseka sana huwa nahis sithaminiwi aiseeHiyo tabia wadada wengi mnayo, nafikiri kwasababu mnatongozwa sana, hivyo mna reserve ya kutosha, unakua wa kwanza kumtafuta mtu kila saa, anakujibu vizuri tu, mwisho unaona huu uzito wa mahusiano wa kuubeba watu wawili naubeba mwenyewe, ngoja nipumzike, usipomtafuta ili uone kama atajali, hakutafuti, ukikaa kimya ndo mahusiano yanakufa, kumbe inauma eeh π #mkukikwanguruwe kadogo2 Aaliyyah
Hebu ongezea nyamanyama dadaπSema nina majonzi
Ya vijana waliokatiliwa sina mood ya mapeni japo nyege shindili
Ni hivi ..mwanaume asiependa mawasiliano na wewe automatic tu hawi romantic kwako(ila sio kwamba hayajui mahaba)
Na pia automatic hata kutomb@na nae anakua hana mzuka na wewe
Mimi nimeolewa na mtu wa namna hiyo
It took me 7yrs to figure out what to do
Now tupo ok
Usifanye hilo kosa wewe na yeye biashara yenu ni mapenzi(unless kuna kitu kingine unataka) ila kama ni mapenzi ,kupigana miti na kufurahi
Tafuta mtu mwingine
Kilichofanya iwe nae ni mapenzi sasa kama uyapati unaendelea nae waninj
Ukianza kuzipenda niambie.Hujakosea Ngoja na mimi niwe kama wadada wa mjini nipende pesa
Nimefurahi sana kukuona hapa jukwaani, nilikuwa sipati usingizi kabisa kwa ajili yako nikihisi labda mwezi uliopita hukuvuka salama.Hujapona tu π π
Siombagi hela mkuu