Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Unawezaje kuvumilia miaka 2 bila sex kwa mke wako

Aiseeh una shida sana


Sasa kilichomtoa kwao ni nini?
Mi siwezagi atalalamika tu ila ataisikilizia imo sijui kuzuia kisa anaumwa au sijui nini.

Mke wangu anipangie au mi ndo nimpangie?

Mwambie unakata kuoa mateso huwezi.
 
Usikute umeoa mwanasheria au li~feminist promax mkuu maana si kawaida,wenzako tunatindua mbunye tangu day one ya mimba hadi siku anajifungua na akipona tu ngoma inaendelea ili kuyarutubisha maziwa sasa kwako aidha mwanamke kakutawala au umeendekeza diplomasia na mambo ya honey,sweet mara beib matokeo yake ndo hayo!ukwl ni kwamba kuna jamaa anamtindua mkeo,full stop!
Nimejipata nacheka kifala sana na hii comment , kiongozi tuma namba nkuweke za serengeti lite ulipo [emoji23][emoji23]
 
Namaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex

Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa

Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?

Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.

Ushauri wenu tafadhali
Ongeza mke wa pili
 
Eti mkeo???.Acha uongo mkuu,huyo mbuzi hakupendi inawezekana hata huyo mtoto sio wako labda kama ulimkuta bikra.Hapo anamtunzia anayempenda.Na hili liweke akiba siku akiomba ruhusa kwenda kusalimia Kwao Kisha arudi awe anakupa bila shida ujue ww ni Zuzu.
 
Lamomy siku mchukilia serious nilihisi ana mtania half America sasa huyo Lamomy athibitishe yeye ndio alioe onge kwanza sina muda wa kupigizana kelele na mtu asiejielewa sielewi 😒 una fight nini mpka sasa Kama huna hela ya dinner sema tu nikutumie maana masikini kama wewe wahitaji ufadhili sio ziada.
😂😂😂😂 madam unachamba khaa!!
Hiyo pesa ya dinner ntumie mie mahi 😜
 
Back
Top Bottom