Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Miezi 3 wapi wewe, siku 40 zinatosha inakuwa safi tayari.Wengine wanaanza kupiga mtoto akifikisha miez 3, wewe unasubiri miaka 2?. Kwani huwezi tembea nae akiwa siku ambazo sio za hatari?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi 3 wapi wewe, siku 40 zinatosha inakuwa safi tayari.Wengine wanaanza kupiga mtoto akifikisha miez 3, wewe unasubiri miaka 2?. Kwani huwezi tembea nae akiwa siku ambazo sio za hatari?.
Nimejipata nacheka kifala sana na hii comment , kiongozi tuma namba nkuweke za serengeti lite ulipo [emoji23][emoji23]Usikute umeoa mwanasheria au li~feminist promax mkuu maana si kawaida,wenzako tunatindua mbunye tangu day one ya mimba hadi siku anajifungua na akipona tu ngoma inaendelea ili kuyarutubisha maziwa sasa kwako aidha mwanamke kakutawala au umeendekeza diplomasia na mambo ya honey,sweet mara beib matokeo yake ndo hayo!ukwl ni kwamba kuna jamaa anamtindua mkeo,full stop!
nashukuru mkuu kwa bia!unajua kuna wanaume wenzetu inabidi tupeane kauli ngumu ili kuamshana maana si kawaida hio!!jamaa etu huyu anapitia magumuNimejipata nacheka kifala sana na hii comment , kiongozi tuma namba nkuweke za serengeti lite ulipo [emoji23][emoji23]
Ongeza mke wa piliNamaliza mwaka na miezi kadhaa bila sex kutoka kwa mke wangu, ujauzito ulipokaribia miezi 5 aliomba tuache kusex na akajifungua, Sasa mwaka umeisha tangu tuacha kusex
Mtoto ana mwaka na miezi kadhaa lakini wife anadai hatuwezi kusex kwa sababu atapata ujauzito mwingine nikamuuliza unaona tuanze kuanzia lini akasema bora mtoto afikishe miaka miwili
Nilipomwambia atumie uzazi wa mpango akadai unaharibu mwili na kusababisha magonjwa
Nilipomwambia tutumie kondomu anadai ana allergies na kondom na hawezi kutumia..
Najiuliza hivi nyie mlio katika ndoa hili swala huwa mnalifanyaje au mnasubiri miaka miwili kweli au mnatumia njia gani?
Muda mwingine nawaza kuwa na mchepuko lakini naona ni dhambi kumsaliti wife.
Ushauri wenu tafadhali
Mbwa tena 😂Kindeena soma vizuri ukishindwa na hapo acha kunifatilia fanya maisha yako mbwa wewe
AnazinguaMbwa tena 😂
Mzingue wewe si mazaAnazingua
Umemaanisha, sijakuelewaMzingue wewe sio maza
Typing error nimerekebishaUmemaanisha, sijakuelewa
Atashanga mke ana mimba mpyaSio mke huyo, pengine unachapiwa we huna habari tu
😂😂😂😂 madam unachamba khaa!!Lamomy siku mchukilia serious nilihisi ana mtania half America sasa huyo Lamomy athibitishe yeye ndio alioe onge kwanza sina muda wa kupigizana kelele na mtu asiejielewa sielewi 😒 una fight nini mpka sasa Kama huna hela ya dinner sema tu nikutumie maana masikini kama wewe wahitaji ufadhili sio ziada.
Kwamba amekuambia anatoa kote koteWe nithibitishe nini tena??