Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Why ukubali kuzaliwa familia kama hiyo ?
By the way upendo unautengeneza wewe na sio yule.
Life can’t be the same to everyone
let appreciate the human differences
kuna wengine wanazaliwa na debilitating damage …. Chongo, kilema, kipofu, kiziwi etc etc …. And they see you as a luckiest person .
Enjoy the life my love and stop hiyo mentality ya baba huku mama kule , it does not help any how.
Accept what life has offered to you, that is your gift and makes you differ from others…. It is only you my love
building your own policies and empire while you are enjoying the NOW