Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Ushauri tafuta mtu Wa kumuamini naamini yupo, ili kushare naye maumivu na Kila linalokuzunguka la sivyo hauko mbali na kifo chako.
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu

hekima inadai tatizo/mapito au nyakati ngumu ili iweze kudhihilika (i.e kufanya KAZI), kwaajili ya utukufu wake

Kamwe hekima haiwezi kudhihirika au kufanya KAZI Wakati wa raha✍️

NOTE: Hekima ni MUNGU
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu

Solitary au upweke au kukaa peke yako ndo MAISHA mazuri Sana .

Wewe unapokuwa down au upo na negative emotions anayeweza kukutoa hapo sio ndugu au rafiki isipokuwa wewe mwenyewe.

Hoja yako kuwa msizae au msifanye hivi inaleta maana Sana Ila haina uhusiano na tatizo lolote.

Jambo la msingi unapoishi , unabidi kuhakikisha unatengeneza intimacy na watu ambao wanaweza kukupa insights na kukufanya kuwa insightful .

Hakuna MTU yeyote anayeweza kukufanya usifanikiwe au kuua dreams zako ikiwa wewe haujaamua.

MAISHA huwa hayahitaji uzungunkwe na ndugu wengi wa baba mmoja au mama mmoja Ila huwa yanahitaji uzungukwe na Fikra chanya, au mawazo mazuri tu. Maana nguvu ya mawazo ndo imebeba hatima zetu hapa duniani.

Don't blame anybody and cherish every single moment.
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Hujampata mwenzi was kumwambia!!?
 
😅😅
Unaonekana haupo interested kunisikiliza. Nimegundua nikikwambia yanayonisibu unakaa mbali na mimi..so siongei tena.

Halafu ulipotea wapi?
Niambie mimi, huyo dogo amekuwa michosho sana
Kuna watu huwa wanaona sifa, ila hili jambo lina madhara sana kijamii na kisaikolojia.
Acha kuzingua, kwa hiyo nikimpenda mtu nikitaka tupeane genes zetu kuna shida?
 
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Mi ni kama wewe, yakinizidi Huwa natafuta chemba, peke yangu naongea na Mungu asiyeonekana Tena kwa kujiamini as if tuko wawili, note siyo kwamba nasali, ila nazungumza a way you can to a friend,
 
Niambie mimi, huyo dogo amekuwa michosho sana
Ha haaa
Mimi na wewe tuna jambo letu bado lipo pending...
Uzito umenizidia nakaribia kushindwa kutembea. Natafuta patner wa Gym
 
Ha haaa
Mimi na wewe tuna jambo letu bado lipo pending...
Uzito umenizidia nakaribia kushindwa kutembea. Natafuta patner wa Gym
Ongeza kidogo, ukifika 92 tunaanza rasmi🤣
 
Back
Top Bottom