Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Pole sana..... Njoo pmMimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu