Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Ok! Ila hapa sio salama kuweka contact zako, nikiwa tayari nitaku pmOk poa ngoja nikuachie namba ya kunichek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok! Ila hapa sio salama kuweka contact zako, nikiwa tayari nitaku pmOk poa ngoja nikuachie namba ya kunichek
OkOk! Ila hapa sio salama kuweka contact zako, nikiwa tayari nitaku pm
Kweli kuna kitu nimenotice siku za karibuni kukuhusu hasa naposoma comments zako. Pole kwa changamoto unayopitiaNilikuwa nae ambae ananisikiliza but nowdays naona kama namchosha...nabaki nayo moyoni. Kusikiliza mziki siku nzima kunasidia kujifariji.
Umesema kwelinyie watu ndo amfai hata kuwa dated. nasema single parents families sio za kuoa due to this.
I tried before. nikaona mwenzangu kama ana wivu how I live with my parents. anataka kunigeuza mimi mzazi anataka kutumia my power kuwaheshimisha wengine. watu wa muone ameweza. I walked away. mna kila tabia mbaya.
you have no one kwa sababu how your raised. complete family ambao tupo pamoja. we talk openly we are mostly happy. hata dunia nzima ipoteee
tulio toka familia za wazazi wote. familia bora tuna upendo na ni watu wawazi sana.
nyie wa broken families tafuteni another broken families. instead mtatengeneza another broken families
😂😂😂Upoje 😂
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Mnatunyanyasa sana wambea!tunaomba bwana shemeji awe anapiga holla hata siku mojamojaHatutaki kufanya hivyo mahi wangu, muda bado na hata ukifika hiyo stage tulishavuka.
UmalayaKuzaa Kila mtoto na baba yake,
Unataka kula ubuyu😅Anaehitaji kusikilizwa karibu, mie ni msikilizaji mzuri.....
Asante kwa kunikumbukaDada yangu mzuri
Baada ya kumaliza kuandika nafanya nini? Nayatunza mtu mwingine aje kuyaona au nayatupa?"If you have a problem, write a letter"
Kua na diary yako ya siri, ukiona mambo mengi chukua karamu andika hata page 3, usitumie notebook ya simu au computer, tumia karamu na karatasi, utanishukuru baadae
Ukipitia chochote unachoona kinamata kiandike, kuja usome next couple weeks, months or even after years, you will learn somethingBaada ya kumaliza kuandika nafanya nini? Nayatunza mtu mwingine aje kuyaona au nayatupa?
Sent using Jamii Forums mobile app
indeed!hizi familia za baba huku na mama kule sio powa!however kuna mipango ya MUNGU ie mama/baba kafariki so baba/mama kaoa au kaolewa na mtu mwingine!hii huezi kucontrol!lkn impact iko palepale!Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
However, jitahidi sana kuomba!kuongea na MUNGU wako ni njia nzuri zaidi na inakupa faraja!nenda msikitini/kanisani siku ambayo hakuna watu (sio siku za ibada ili upate confortability na muda vzr)kalie na MUNGU wako utapata faraja sana!Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,