Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Njooni kwangu enyi msumbukao na kuelemewa na mizigo( tabu ,magonjwa,upweke) nami nitawapumzisha..Asema Bwana
 
Hakuna haja ya kuwalaumu wazazi huwezi jua nini kilitokea kwao.

Kwa sasa umeshakua tengeneza network,tafuta watu wako, tengeneza marafiki wachache mtakaoshikana.

Usiseme siku hizi hakuna marafiki wazuri jiulize wewe ni rafiki mzuri kwa nani?

Amini Dunia hii Kuna watu wazuri sana ukiwapata hautakuwa na stress ni simu moja tu...
 
nyie watu ndo amfai hata kuwa dated. nasema single parents families sio za kuoa due to this.

I tried before. nikaona mwenzangu kama ana wivu how I live with my parents. anataka kunigeuza mimi mzazi anataka kutumia my power kuwaheshimisha wengine. watu wa muone ameweza. I walked away. mna kila tabia mbaya.

you have no one kwa sababu how your raised. complete family ambao tupo pamoja. we talk openly we are mostly happy. hata dunia nzima ipoteee

tulio toka familia za wazazi wote. familia bora tuna upendo na ni watu wawazi sana.

nyie wa broken families tafuteni another broken families. instead mtatengeneza another broken families
Umesema kweli

Nilishapata mdada mmoja tukazaa naye mtoto. Mama yake alinipenda sana huyo mwanamke. Changamoto yaani niliyokuwa naona kila akimka asubuhi anam-text mama ndo tunaamka. Alafu sasa tabia chafu za umalaya mara alishatembea mpaka na bosi wangu, mimi nikaamua kumuacha ila kinaniuma huyo mtoto.

Ila liwalo na liwe hawa hawafai kabisa kuoa, hawana sense ya accountability kabisa wao wanaangalia furaha zao. Mimi kuna kipindi unaona mama yako anazingua home ila wao mama ni perfect, tena unakuta mama yao alishawahi kuishi na mwanaume huyu kisha yule yaani ni mess up!
 
Duuh!! Pole sana.
Ghafla sana nimepatwa na simanzi baada ya kuusoma uzi wako.
Mtumaini Mungu mweza wa vyote.
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
 
Hatutaki kufanya hivyo mahi wangu, muda bado na hata ukifika hiyo stage tulishavuka.
Mnatunyanyasa sana wambea!tunaomba bwana shemeji awe anapiga holla hata siku mojamoja
 
Mambo yamejaa uchovu kweli kweli hebu fikria Mimi nije nikueleze magumu yangu wakati na wewe unamagumu yako hatuwezi kuelewana

Kiufupi tujipe moyo tu huku tukisubili Yale mawe tulotenga jikon yaive
 
Hii kitu ilinikuta past 6 years. Ila kwangu namba za simu nyingi phonebook,alafu sina msaada nazo, unawaza una watu wengi ila hamna mwenye msaada hata wa ushauri kwako, nilidelete, nikawa naamka najiwaza mwenyewe sasa, Nikaanza kuona ndoto zangu. And each year nikawa nabadirisha namba, niko poa sasahivi, nikibanwa npo Twitter au hapa jf nabishana au naandika kama hivi. Then nalala. Naweza tumia 7hrs active jf.
Kama siko safari au dukani kwangu.
Pole sana sema.
Find your path, Not kwenye mapenzi, au kuamini watu. Never so that. Ni ngumu sana
 
"If you have a problem, write a letter"
Kua na diary yako ya siri, ukiona mambo mengi chukua karamu andika hata page 3, usitumie notebook ya simu au computer, tumia karamu na karatasi, utanishukuru baadae
Baada ya kumaliza kuandika nafanya nini? Nayatunza mtu mwingine aje kuyaona au nayatupa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
indeed!hizi familia za baba huku na mama kule sio powa!however kuna mipango ya MUNGU ie mama/baba kafariki so baba/mama kaoa au kaolewa na mtu mwingine!hii huezi kucontrol!lkn impact iko palepale!
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
However, jitahidi sana kuomba!kuongea na MUNGU wako ni njia nzuri zaidi na inakupa faraja!nenda msikitini/kanisani siku ambayo hakuna watu (sio siku za ibada ili upate confortability na muda vzr)kalie na MUNGU wako utapata faraja sana!
 
Back
Top Bottom