indeedWhy ukubali kuzaliwa familia kama hiyo ?
By the way upendo unautengeneza wewe na sio yule.
Life can’t be the same to everyone
let appreciate the human differences
kuna wengine wanazaliwa na debilitating damage …. Chongo, kilema, kipofu, kiziwi etc etc …. And they see you as a luckiest person .
Enjoy the life my love and stop hiyo mentality ya baba huku mama kule , it does not help any how.
Accept what life has offered to you, that is your gift and makes you differ from others…. It is only you my love
building your own policies and empire while you are enjoying the NOW
kabisaaa!jitahidi kwanza kupambana nayo bila kusahau kumshirikisha MUNGU maana watu mafridge yao hayagandishi!ukimuambia tu mapito yako anatumia kama fimbo kukuchapia kwa kukutangaza etcKwanza jifundishe kujipenda mwenyewe, huu upendo wa kutaka upendwe na wengine mara nyingi ndio utakuumiza zaidi..!!
Ukiwa na magumu sana omba Mungu na sali ili kukuondolea ule uchungu uliokuwa nao au yale yanayokusibu..!! Hii tabia ya kumwambia mtu vitu vyako kuna wengine hawana vifua utayakuta nje na itakuumiza zaidi.
Bora mara mia zaidi yakikushinda uyalete JF huku utakuta wa kukushauri vizuri, bila kusahau ndugu zangu wa backbenchers hao wanajibu kile kinachowajia muda huo. Lkn hautokosa cha kukufariji na kukuponya majeraha.
Asante.Kweli kuna kitu nimenotice siku za karibuni kukuhusu hasa naposoma comments zako. Pole kwa changamoto unayopitia
Njoo uniambie.Kiukweli natamani sn niwe na mtu wa kumwambia na kuongea naye.Ninayo mengi sana na sielewi nifanyeje?
Binadamu ni wanafiki sana!! Unaweza kumwambia jambo lako kwa wema ila anenda kukutangaza.!!kabisaaa!jitahidi kwanza kupambana nayo bila kusahau kumshirikisha MUNGU maana watu mafridge yao hayagandishi!ukimuambia tu mapito yako anatumia kama fimbo kukuchapia kwa kukutangaza etc
😂😂😂😂Lakino usifanye makosa ukamsimulia mwana jf atakuja kutusimulia siku moja hapa
Kuna wale wanawake unakuta kazaa na wanaume hata sita jamani 🫣🫣 wao ni kupanua kuzaa hawajaliBinadamu ni wanafiki sana!! Unaweza kumwambia jambo lako kwa wema ila anenda kukutangaza.!!
🤣🤣🤣 Hata watoto unafanya waone mama jau.!! Halafu hata hawajali sio shida zaoKuna wale wanawake unakuta kazaa na wanaume hata sita jamani 🫣🫣 wao ni kupanua kuzaa hawajali
Yaan unaleta ukoo wa Abdallah,wa joseph,wa juma kaaah!! Sijui huwa wanafikiria nin🤣🤣🤣 Hata watoto unafanya waone mama jau.!! Halafu hata hawajali sio shida zao
Na hizo koo humo humo kuna wachawi, wezi, wauaji na wavivu juu!! 🤣Yaan unaleta ukoo wa Abdallah,wa joseph,wa juma kaaah!! Sijui huwa wanafikiria nin
Halaf utegemee mambo yakae sawa likizo kila watoto wanaenda kwa baba zao au babu zaoNa hizo koo humo humo kuna wachawi, wezi, wauaji na wavivu juu!! 🤣
Hawajui km unayumbisha watoto, hivi kwani lazima kuzaa hovyo hovyo bila utaratibu km walevi?!!Halaf utegemee mambo yakae sawa likizo kila watoto wanaenda kwa baba zao au babu zao
Family yenye adabu ni baba mmoja na mama mmoja basi
Ukikosea wa kwanza wa pili zaa na huyo baba watoto wote