Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Why ukubali kuzaliwa familia kama hiyo ?

By the way upendo unautengeneza wewe na sio yule.

Life can’t be the same to everyone

let appreciate the human differences

kuna wengine wanazaliwa na debilitating damage …. Chongo, kilema, kipofu, kiziwi etc etc …. And they see you as a luckiest person .

Enjoy the life my love and stop hiyo mentality ya baba huku mama kule , it does not help any how.

Accept what life has offered to you, that is your gift and makes you differ from others…. It is only you my love

building your own policies and empire while you are enjoying the NOW
indeed
 
Ndio maana watu wanaua na kujiua.
Ni mbaya sana,uko na watu wamekuzunguka lakini huwezi kueleza na hapo hapo kuna mwenye anakupa stress yupo kati yao.
 
Kwanza jifundishe kujipenda mwenyewe, huu upendo wa kutaka upendwe na wengine mara nyingi ndio utakuumiza zaidi..!!
Ukiwa na magumu sana omba Mungu na sali ili kukuondolea ule uchungu uliokuwa nao au yale yanayokusibu..!! Hii tabia ya kumwambia mtu vitu vyako kuna wengine hawana vifua utayakuta nje na itakuumiza zaidi.

Bora mara mia zaidi yakikushinda uyalete JF huku utakuta wa kukushauri vizuri, bila kusahau ndugu zangu wa backbenchers hao wanajibu kile kinachowajia muda huo. Lkn hautokosa cha kukufariji na kukuponya majeraha.
kabisaaa!jitahidi kwanza kupambana nayo bila kusahau kumshirikisha MUNGU maana watu mafridge yao hayagandishi!ukimuambia tu mapito yako anatumia kama fimbo kukuchapia kwa kukutangaza etc
 
kabisaaa!jitahidi kwanza kupambana nayo bila kusahau kumshirikisha MUNGU maana watu mafridge yao hayagandishi!ukimuambia tu mapito yako anatumia kama fimbo kukuchapia kwa kukutangaza etc
Binadamu ni wanafiki sana!! Unaweza kumwambia jambo lako kwa wema ila anenda kukutangaza.!!
 
Njoo uniambie ni kipi kinasibu , njoo uwe rafiki yangu , njoo tuwe ndugu wa hiyari na mimi nijione kuwa na rafiki tena na ndugu tena .
 
Kiukweli familia inatakiwa muwe ukoo mmoja,watu wanakosea sana kuzaa na kila koo ,damu tofauti tofauti na mnakuwa half sibling upendo unatoka wapi?? Nakuelewa sana ila pia wewe usirudie makosa walofanya wazazi wako rekebisha kwenye familia yako
 
Binadamu ni wanafiki sana!! Unaweza kumwambia jambo lako kwa wema ila anenda kukutangaza.!!
Kuna wale wanawake unakuta kazaa na wanaume hata sita jamani 🫣🫣 wao ni kupanua kuzaa hawajali
 
Lakin kuna hii pia unaweza kwenda sehemu ukakaa na stranger ukamsimulia yote yanayokuumiza kisha ukaondoka zako nayo inasaidia
 
Kuna wale wanawake unakuta kazaa na wanaume hata sita jamani 🫣🫣 wao ni kupanua kuzaa hawajali
🤣🤣🤣 Hata watoto unafanya waone mama jau.!! Halafu hata hawajali sio shida zao
 
Na hizo koo humo humo kuna wachawi, wezi, wauaji na wavivu juu!! 🤣
Halaf utegemee mambo yakae sawa likizo kila watoto wanaenda kwa baba zao au babu zao
Family yenye adabu ni baba mmoja na mama mmoja basi
Ukikosea wa kwanza wa pili zaa na huyo baba watoto wote
 
Believer, whose bias do you seek..live your life, people are too subjective, hawapo kama unavyowafikiria..
 
Halaf utegemee mambo yakae sawa likizo kila watoto wanaenda kwa baba zao au babu zao
Family yenye adabu ni baba mmoja na mama mmoja basi
Ukikosea wa kwanza wa pili zaa na huyo baba watoto wote
Hawajui km unayumbisha watoto, hivi kwani lazima kuzaa hovyo hovyo bila utaratibu km walevi?!!
 
Kuzaa hovyo na mambo ya kataa ndoa ndo matokeo yake haya.

Mtoto anakua baba wawili na mama wawili, bibi na babu wanne wanne.

Na mbaya ni kua kama ndo first born wa bahati mbaya basi no one cares about you maana kila mtu yuko bize kujenga hisi/her new family
 
Back
Top Bottom