Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Wanaoathirika zaidi huwa ni watoto
 
Wanaoathirika zaidi huwa ni watoto
Zaidi ya sana, na kwenye ule umri mdogo ndo mtoto anatengenezwa aweje, sasa mpaka anafika umri wa kujitambia yale makitu yanakua yashamuathiri kisaikolojia.
 
Mimi mchumba nakupa maua yako!
Unanisikiliza sana hadi sina hofu kukwambia chochote kinachonisibu na siku zote umekua rafiki mzuri kwangu unanisikiliza na kunisaidia mengii

Nimekupa maua yako leo labda kesho naweza nisipate nafasi ya kukwambia Ahsante
Wewe ni mtu na nusu...!
 
I will always be there for you mchumba
 
Hii hali watu wengi wanapitia.

Mfano. Binafsi hua natamani baba/baba mdogo/baba mkubwa angekuepo kwenye cycle yangu labda ningekua napata nasaha zake katika hali fulani za maisha inatia moyo sna kuliko hivi sasa.

Namshukuru Mungu yupo mama lakini hua simshirikishi magumu yangu, maana kwake itakua msiba zaidi kuliko mm.
 
Mm nipo karibu, anytime J
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…