Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

Kuzaa hovyo na mambo ya kataa ndoa ndo matokeo yake haya.

Mtoto anakua baba wawili na mama wawili, bibi na babu wanne wanne.

Na mbaya ni kua kama ndo first born wa bahati mbaya basi no one cares about you maana kila mtu yuko bize kujenga hisi/her new family
Wanaoathirika zaidi huwa ni watoto
 
Mimi mchumba nakupa maua yako!
Unanisikiliza sana hadi sina hofu kukwambia chochote kinachonisibu na siku zote umekua rafiki mzuri kwangu unanisikiliza na kunisaidia mengii

Nimekupa maua yako leo labda kesho naweza nisipate nafasi ya kukwambia Ahsante
Wewe ni mtu na nusu...!
 
I will always be there for you mchumba
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Hii hali watu wengi wanapitia.

Mfano. Binafsi hua natamani baba/baba mdogo/baba mkubwa angekuepo kwenye cycle yangu labda ningekua napata nasaha zake katika hali fulani za maisha inatia moyo sna kuliko hivi sasa.

Namshukuru Mungu yupo mama lakini hua simshirikishi magumu yangu, maana kwake itakua msiba zaidi kuliko mm.
 
Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,

Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.

SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,

Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,

Kuzaa Kila mtoto na baba yake,

Kuzaa Kila mtoto na mama yake,

Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Mm nipo karibu, anytime J
 
Back
Top Bottom