Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Walevi ndo wanazaa hovyo, kijana tutake radhi wabwia bia.Hawajui km unayumbisha watoto, hivi kwani lazima kuzaa hovyo hovyo bila utaratibu km walevi?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walevi ndo wanazaa hovyo, kijana tutake radhi wabwia bia.Hawajui km unayumbisha watoto, hivi kwani lazima kuzaa hovyo hovyo bila utaratibu km walevi?!!
Wanaoathirika zaidi huwa ni watotoKuzaa hovyo na mambo ya kataa ndoa ndo matokeo yake haya.
Mtoto anakua baba wawili na mama wawili, bibi na babu wanne wanne.
Na mbaya ni kua kama ndo first born wa bahati mbaya basi no one cares about you maana kila mtu yuko bize kujenga hisi/her new family
😂😂😂😂Walevi ndo wanazaa hovyo, kijana tutake radhi wabwia bia.
😂😂😂😂Walevi ndo wanazaa hovyo, kijana tutake radhi wabwia bia.
Zaidi ya sana, na kwenye ule umri mdogo ndo mtoto anatengenezwa aweje, sasa mpaka anafika umri wa kujitambia yale makitu yanakua yashamuathiri kisaikolojia.Wanaoathirika zaidi huwa ni watoto
Naamini mpaka sasa hii statement ni sahihiMac Alpho
Mungu akutunze daima, wewe ni baraka mno kwenye maisha yangu..!!🙏🙏
Sijaelewa kile umemaanisha tafadhali,Naamini mpaka sasa hii statement ni sahihi
Nina maana mpaka sasa Mac Alpho ni baraka katika maisha yako!Sijaelewa kile umemaanisha tafadhali,
I will always be there for you mchumbaMimi mchumba nakupa maua yako!
Unanisikiliza sana hadi sina hofu kukwambia chochote kinachonisibu na siku zote umekua rafiki mzuri kwangu unanisikiliza na kunisaidia mengii
Nimekupa maua yako leo labda kesho naweza nisipate nafasi ya kukwambia Ahsante
Wewe ni mtu na nusu...!
Hii hali watu wengi wanapitia.Mimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
Mm nipo karibu, anytime JMimi Sina mtu wa kumweleza,Sina mtu wa kunisikiliza,
Kuna wakati unapitia hali flani una wish angekuwepo mtu M,Moja na akusikilize tu.
SISI ni wale tumezaliwa kwenye familia za baba huku na mama kule,
Nataka kusema hivi msifanye makosa haya,
Kuzaa Kila mtoto na baba yake,
Kuzaa Kila mtoto na mama yake,
Hii ni mbaya mnoo mimi nimezaliwa kwenye familia ya AINA hii kwahyo,hakuna upendo kati yetu
🙏🙏Nimepitia hali hiyo,naelewa kitu gani unapitia hasa kwa wew binti,ila amini kuwa kesho haitakuwa sawa na leo:JOSHUA 1;9