City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Kweli kabisaHuo ujinga ni sugu, hautoki kirahisi,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisaHuo ujinga ni sugu, hautoki kirahisi,...
We kweli una mawazo mfu sana, toka kwanza usingizini, umeuliza swali la kijinga mnoMnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Tumia akili yako vizuri, Magu ametumikia serikali ya Kikwete kama waziri, unafikiri alikaa kizembe hakutengeneza connection, au kwako connection ni nini? ile tu kuwa waziri ni connection tayarMnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Sio rahisi kujibu hili swali.Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Kwa ulimwengu wa sasa bila connection nafasi ya kutoboa ni ndogo sana japo huwa inatokea ukatoboa hata bila kuhitaji connection endapo utajikuta right place at the right moment.Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Namkumbusha kwenye kura za Maoni Jiwe hakupita top 5 ila kutokana na mgogoro uliokuwepo na chama kua kimevurugika Mkapa ndo akampigia chapuo(connection).Yaani wewe ni poyoyo sana, raisi ni cheo ambacho kinahitaji kujulikana/connection kuliko utumbo ulioandika
Kitendo cha kuwa mbunge connection ilihusika mpaka akapita kura za maoni - CCM
Kuwa waziri ni connection ya raisi aliyemchagua
Kuwa raisi ni connection (kura za maoni)
NB
Uraisi ni process ndefu (inahitaji maandalizi ya muda mrefu)
Nafasi zote aiizochaguliwa ni connection ambazo zilimuandaa kuwa raisi
Kuna unaona uraisi hauna connection tutajie mtu yoyote ambaye hajawahi kushika nafasi yoyote kubwa ya Uongozi kabla na kisha akapewa agombee uraisi
Pia imani yako bedo ni dhaifu, hata huyo aliyepata kazi kwa connection anamtegemea MUNGU ila connection ni sababu tu ya kupata kazi kama wewe usio na connection unavyofanya interview ili upate kazi
Hajatumia ubongo sawa sawa, ubunge tu jimboni kwake alipata kwa koneksheni, huna watu hupati kituNamkumbusha kwenye kura za Maoni Jiwe hakupita top 5 ila kutokana na mgogoro uliokuwepo na chama kua kimevurugika Mkapa ndo akampigia chapuo(connection).
Jf tuleteeni emoj ya mtu akiabdika utumbo tumtumie bila hata kuandika neno lolote tuanza na huyu mpuuzi siku za mbele atatuambia mama yake bikra huyu hajui hata anataka kusema nn kama huku kuzito rudi kwa face book ukapige picha umeingiza demu getto huku kuzito huwezi kuwa mweupe ukajua kudesign contentMkapa ndiye aliyempambania kijana wake. Bado mtoto sana kwenye mambo haya
Kama hujui ndugu yangu magufuli ilikuwa bora wote tukose wewe usipate na mimi nisipateMnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Nani kakwambia urais ni ajira?!
Jf tuleteeni emoj ya mtu akiabdika utumbo tumtumie bila hata kuandika neno lolote tuanza na huyu mpuuzi siku za mbele atatuambia mama yake bikra huyu hajui hata anataka kusema nn kama huku kuzito rudi kwa face book ukapige picha umeingiza demu getto huku kuzito huwezi kuwa mweupe ukajua kudesign content
Hajatumia ubongo sawa sawa, ubunge tu jimboni kwake alipata kwa koneksheni, huna watu hupati kitu
Wewe mjinga sana kwa kweli.
Huwa unakaa na kuwaza kabla ya kuandika?
Huwa unafikirisha ubongo (critical thinking) kabla ya kuandika?.
Nilikua Memkwa ni changamoto kubwa kumbe hata BRN Ni changamoto kubwa sana katika taifa hili Kwa sasa
Urais sio ajira. Ajira unaipata kwa academic qualifications na nafasi zilizopo, sio kwa kupigiwa kura