Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

Unayeamini kwamba ajira hutolewa kwa kujuana, tuambie Magufuli alijuana na nani mpaka akawa Rais wa nchi

Wewe unayeamini katika connection ndio utumie critical thinking sababu hiyo ni dalili ya uchawi na ukosefu wa maarifa
Unless hujui definition ya connection na critical thinking unayoandika hapo! Kasome tena eeh Memkwa generation! Usiwe na haraka kwa mambo yanayohitaji fikra kubwa. .
Unajua tu kupata mtu reputable kukufanyia recommendations ni connection tosha? Now who will recomend you? Faggot
 
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Urais haukuja ghafla. Aliupata baada ya kuwa amekaa serikalini kama waziri kwa miaka 20. Tayari hapo ashajuana na wewe ukamjua pia.
 
Unless hujui definition ya connection na critical thinking unayoandika hapo! Kasome tena eeh Memkwa generation! Usiwe na haraka kwa mambo yanayohitaji fikra kubwa. .
Unajua tu kupata mtu reputable kukufanyia recommendations ni connection tosha? Now who will recomend you? Faggot
Sawa albert Einstein
 
Swali linajibika hivi, haliwezi kuibika kwa BRN na MEMKwa
Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa wa ajira, mahusiano na mtandao wa watu (networking) ni silaha yenye nguvu isiyoweza kupuuzwa. Kutafuta kazi si tu suala la kuandika CV au kupeleka maombi ya kazi, bali pia kujenga mahusiano yenye tija yanayoweza kufungua milango ya fursa ambazo mara nyingi hazionekani kwa kila mtu.

Kuna nafasi nyingi za kazi ambazo hazitangazwi rasmi, zinajulikana kama soko la ajira la siri. Kazi hizi hujazwa kupitia rufaa au mawasiliano binafsi. Kwa kujenga mahusiano mazuri, unaweza kupata taarifa kuhusu nafasi hizi mapema zaidi, na hivyo kuongeza nafasi zako za kufanikiwa. Zaidi ya hayo, mwajiri hupokea maombi mengi ya kazi kila siku. Rufaa kutoka kwa mtu anayemwamini inaweza kukutofautisha na maelfu ya waombaji wengine, kwani inatoa uthibitisho wa uwezo wako kupitia macho ya mtu anayefahamika.

Mahusiano pia yanakupa nafasi ya kupata maarifa muhimu kuhusu mwenendo wa sekta unayotafuta kazi, utamaduni wa kampuni, na matarajio ya mwajiri. Maarifa haya yanakusaidia kujiandaa vizuri kwa maombi ya kazi, CV bora, na hata usaili. Vilevile, mazungumzo na watu waliofanikiwa katika taaluma yako hukutia moyo na kuongeza ujasiri wako, hasa wakati unapokutana na changamoto katika mchakato wa kutafuta kazi.

Mahusiano hayasaidii tu katika kutafuta kazi bali pia kukuza taaluma yako kwa muda mrefu. Kupitia mtandao wa watu, unaweza kupata washauri, ushauri wa kitaaluma, au hata kushirikiana kwenye miradi ambayo inaweza kukuinua zaidi katika taaluma yako. Hii inakupa nafasi ya kujifunza, kushirikiana, na kukua kitaaluma kwa njia endelevu.

Ili kujenga mahusiano yenye nguvu, unapaswa kuhudhuria matukio ya kitaaluma kama semina, warsha, na mikutano. Pia, tumia mitandao ya kijamii kama LinkedIn ili kuwasiliana na wataalamu wa sekta unayotafuta. Usisahau kuwasiliana na walimu wa zamani, waajiri, au hata marafiki waliopo kazini, kwani wanaweza kuwa msaada mkubwa katika safari yako ya kitaaluma. Jiunge pia na vikundi vya kijamii au kitaaluma vinavyohusiana na taaluma yako, kwani kupitia vikundi hivi unaweza kupata marafiki wapya na kujenga mtandao wenye msaada mkubwa.

Kumbuka, kila mawasiliano linaweza kuwa fursa. Jenga mahusiano yenye thamani na ya kudumu, kwa sababu mtandao wako wa watu unaweza kuwa nguvu kubwa zaidi ya kukusaidia sio tu kupata ajira bali pia kufanikisha malengo yako ya kitaaluma.
Sio rahisi kujibu hili swalli
 
Njoo taratibu mkuu acha kukaza fuvu, acha kuamini katika connection ni dalili ya uchawi
Senior Member joined September 2024!
Uwe na adabu unapolemishwa! Kuna watu tumekuzidi akili, maarifa na exposure!
Katika maisha Kuna kitu kinaitwa kanuni!
Hata Maandiko Matakatifu yanaweka bayana "kutanguliwa"
Acha kuyatazama kwa jinsi yanavyoonekana, jitahini kuwa metaphysical thinker..
Wajinga wanafanana na wewe wameishia kukwama Kwa sababu ya kutumia only five sense organs kwenye kuyachukulia mambo ya ulimwengu huu!
Unapozungumzia connection acha kuwaza Rushwa! It is not about what you know it is who you know!
 
Basi hata ambaye hakwenda shule kabisa anastahili kuwa raisi cha muhimu apigiwe kura tu?
Kama masharti ya mgombea urais yakiruhusu, atagombea. Ninachosema hapa ni kwamba masharti ya mgombea urais ni tofauti na masharti ya muomba ajira, ndio maana urais sio ajira. Serikalini hakuna ajira bila usaili.
 
Kama unaamini katika connection kwanini na wewe usitengeneze uwe raisi ama waziri, think twice🏃
Kila mtu anatengeneza connection alipo mkuu, wewe unataka mimi nitengeneze connection ya kuwa Raisi kwani nimekuambia nina ambition hiyo? ukitaka kuwa Raisi lazima uanze kwenye chama ujulikane huko uaminike uwe na watu wa kushika mkono ndio connection yenyewe
 
Huu Uzi umevamiwa na vijana wa Facebook na amapiano kama aliyeuleta pia alivyo zao la BRN!

VIJANA Kabla hamjaanza kupandisha nyuzi jukwaani angalieni aina ya nyuzi zinazopandishwa na expert na verified members na kwa jinsi umma unavyochangia.

Umejiunga siku hiyo hiyo na kuanza kupost thread kama vile mnavyobamdika Facebook. Hii haiwezi kusadifu great thinkers philosophy.
Ndio mana nyuzi hizi haziwezi kuchangiwa na watu wenye maono mapna pamoja na hata viongozi wakubwa na members ambao wanaweza kuwapa pia connection enyi kizazi Cha P2 zilizofail.

Uwasilishaji na uchagiaji wako katika jukwaa unaweza kuwa sehemu ya connection tunayoongea hapa.
Ilinichukua almost 3 years kuanza kupost threads humu na kuangalia members response to learn if nipo katika right track.
 
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Kabla ya kutaka sisi tukueleza alijuana na nani wewe tuthibitishie pasipo shaka kuwa hakujuana na mtu. Kwa ushahidi wa wazi.
 
Kabla ya kutaka sisi tukueleza alijuana na nani wewe tuthibitishie pasipo shaka kuwa hakujuana na mtu. Kwa ushahidi wa wazi.
Hiyo ipo wazi alikuwa mtoto wa kimasikini tu asiye na mjomba waziri wala mbunge katika ukoo wake, lakini alifanikiwa kuwa waziri mpaka uraisi, tofauti na vijana wa leo wanaamini kama huna ndugu mwenye cheo huwezi kupata hizo nafasi.
 
Iko wazi katika hisia zako tu.
 
Mkapa. Uraisi ni ajira ndio maana raisi analipwa mshahara
 
Mleta mada akili huna kabisa, naamini hata hiyo ajira uliyonayo Sasa umeipata sababu ya connection huko serikalini, ila UMEKUJA kuwapumbaza watu hapa kwa mfano dhaifu na wa kipuuzi
 
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?
Ujafuatlia historia mkuu unakurupuka tu kaka kaangalie magufuli aliingiaje kwenye siasa ni nan aliemshawish mpaka kuwa politician ili hali alikua ni mwl
 
Back
Top Bottom