Ujafuatlia historia mkuu unakurupuka tu kaka kaangalie magufuli aliingiaje kwenye siasa ni nan aliemshawish mpaka kuwa politician ili hali alikua ni mwl
Mnaosema kama hauna mzito unaye fahamiana nae serikali/ shirika fulani huwezi pata kazi, haya mbona uncle magu alilamba uraisi na alitokea chato, kwanini wewe unaamini katika connection? Mbona uncle magu alitoboa bila ya connection?

Ni ukweli kuwa sio Ajira zote hutolewa kwa connection ILA Watu mkisha lamba Ajira mnajisahaulisha kabisa changamoto za ajira wenzenu wanazopitia....
Niliwahi kusikia humu jukwaani kuwa shirika moja la mafao limeajiri wafanyakazi 600 eti inhouse (bila kutangaza). Na watu walipo lalamika hapa, waka ambiwa, ni nafasi zilikuwa zinajziwa....
Watu mkisha lamba Ajira mnajisahaulisha kabisa changamoto za ajira wenzenu wanazopitia....
Mimi niliwahi kusikia kuna shirika limeajiri wafanyakazi 600 eti inhouse (bila kutangaza)
Na watu walipo lalamika hapa waka ambiwa, ni nafasi zilikuwa zinajziwa....