Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 2,886
- 9,088
- Thread starter
-
- #21
Useja usiojihusisha na ngono..Acha kututisha hata Yesu mwenyewe alisema useja ni zawadi.
Wote wanatenda moja la kufanana japo kuna utofauti.huyu anatumia nguvu huyu anamalizia kwa ushauri tena akisisitiza sana.Wakiwazuia watu wasioe
Ndugu mada hakuna anayemzuia mtu asioe.l, kinachofanyika ni kuwashauri wasioe.
Neno kuzuia ukiangangalia kwenye kamusi ya TUKI Ina maana ya matumizi ya nguvu ktk kulifanya Jambo fulani lisifanyike ama kutokea".
Waache kampeni zao na kupigia wengine kelele..wanatuzibia riziki wengineAsiyetaka kuoa aache, waoaji waoe.. Haina haja ya kushikiana fimbo.
Kila mmoja ataubeba msalaba wake.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wazee tunasemaga..... ngariba haogopi mkojo[emoji6]
Ni kweli kila week kuna ndoa lakini wanachofanya na kuandika mitandaoni kinaenda kinyume na agizo la muumba..Mbona mtaani watu wanaoana tu....
Ni umri tu. Kila moja atafanya linalo mpendeza
Its just a reminder..ikiwa hawayajui maandikoAbigail Nabal don't take it personal
ZipoSasa hizi za siku hizi na nyie ndiyobmnaziita ndoa? Kuna ndoa siku hizi?
Drone..hutaamini siku unajikuta unaoaKama nakojoa kwa Nyeto kwanini nioe ?
Maziwa yamejaa tele sokoni, yanini kufuga ng'ombe ?
[emoji28][emoji28][emoji28]
Nioe Nigundue nini kwa mfano ?Drone..hutaamini siku unajikuta unaoa
Amin nakwambia[emoji38][emoji38]
Huna hela..hiyo ndo sababuNioe Nigundue nini kwa mfano ?
Wanaooa ni wale wanao endeshwa na nyege
Mimi nakataa Utumwa, sina pesa ya mchezo ya kununua binaadamu na kuanza kumhudumia
Huo ujinga sitakaa nifanye
OkayZipo
Sio utumwa ila ulitaka kuwa mtumwa utakua kwa namna ya maisha ambayo unachagua kuishi.Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa
HAKUNA KUOA