Unayoyajua na usiyoyajua kuhusu wanyama wa kufugwa

Mengi hapa siyo ukweli. Yaani umefikia conclusion kwa mambo machache ambayo inaonekana na wewe ulisimuliwa au umekopi mahali na kuleta hapa. Utawapata tu hao hao waliozaliwa mjini na hawajui maisha ya hawa wanyama. Sisi wengine tuliozaliwa vijijini wanyama kama hawa walikuwa ni sehemu ya maisha yetu.
 
fact chache za wanyama hawa.
Ukiwa na mbwa dume hesabu maumivu kama huna fence usiku anaenda kutafuta mademu

Ng'ombe dume wa kazi hatakiwi kupewa chumvi inapunguza nguvu

Nguruwe akila kitunguu maji kibichi anakufa, ila akila nyoka hafi.

Kuhusu punda kama una moyo mwepesi unaweza ukaua wanakera sana hasa wakichoka anaweza akatupa mzigo halafu akatoka kibati.

UJANJA WOTE WA PUNDA ANAOGOPA SANA MAJI KWA SABABU HAJUI KUOGELEA
 
Kwahiyo unanijua?
Kama unajifanya unajua sana sawa elezq
Ila mimi utaniambia nini mmasai? Kuhusu mifugo?
Nimeshinda na wanyama,nimekua nao na mpaka kulala zizini kusubiri ng'ombe ajifungue?

Huna unalolijua kama unalo eleza
 
Kuhusu punda ni kweli kabisa na ndio maana tumesema punda huwa hafugwi
Akili zake anazijua mwenyewe
Hata anaweza kutoweka week usimuone
 
Kujifungua - reserved word kwa heshima ya binadamu similar to kufariki. Wanyama huzaa; hawajifungui only binadamu hujifungua.
 
Na pia mbwa kufuga mmoja ni utachoka bora wawili yaani jike na dume watatulia home angalau kidogo kuliko kufuga madume mawili kwa pamoja. Mbona patachimbika hapo?

Dume lazima lisepe likatafute utelezi huko mitaani then. Wezi wanakuja wanapita na flat screen yako😅😅😅
 
Hapo kwenye punda umenikumbusha Hadithi za kiswahili (YouTube) punda alikuwa mvivu hataki kubeba mizigo kuvuka nayo mto, sasa siku moja akapata wazo kwakuwa mizigo ili kuwa ni chumvi.
Basi alivyo fika pale mtoni akaa kwenye maji chumvi yote ikayeyuka Punda alifurahi sana hakuhisi uzito kwenye mgongo wake, Hiyo ndio ikawa tabia yake .. Nimecheka sana
 

[emoji28][emoji28][emoji28] daah
 
Sababu punda akili yake ni kubwa kuliko wanyama wengine anafikiria sana
 
Kitu namisi ni kuona zile battle za madume ya mafahali.

Tukiwa machalii wadogo tulikuwa tunachonganisha mafahali halafu tunakaa kuangalia battle.

Wale mafahali wanafikia hatua ya kuwa na bifu na unakuta wako busy kunoa pembe zao kwenye vichuguu.

[emoji28][emoji28][emoji28] nimefanya sana hii,achilia mbali ya kukamata jike la mbuzi na kuona jinsi madume yanavyo mpanda. [emoji28][emoji28] gone those old days.
 

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Usihofu tunaenda taratibu mkuu
Alafu punda anasifa moja;

Ukim'bebesha mwanae mzigo haendi, utapiga viboko umuue, m'bebeshe yeye mizigo yote mwanae atembee free.

Nimewaona sana kule Usafwani(Mbeya) wakibebeshwa mahindi,mkaa na viazi.

Punda akifika lami ni mjinga sana, gari inakuja wala hakimbii anaficha tu kichwa anaacha mwili wote anagongwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…