Unazeeka jione hapa

Ndoa ya Prof Kapuya, Na mzee Rungwe wamenisababisha nijiamini sana.
 
Saaaaana madam
Acha kabisa. Cha ajabu miili haibadiliki yaani kila siku waeza jiona umri bado ila zinapokuja kalikulesheni kama hizi ndio hapo tunashituka. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…