Unazeeka jione hapa

Let's fight my dear, tutafika tu
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
 
Aione Let Tumbozz
 
Nilipokuwa najiunga Jf wadada wa 30+ walikuwa wanachambwa ila mimi nilikuwa naona kama iko mbaaali[emoji3][emoji3][emoji3] nilivyofikafika hata sielewi
Hahaha... Miaka ina Kimbia sana aisee, kama mwaka huu yani siamini kama tayari tupo November!

Nilikuwa nampango hadi December nilipie kakiwanja sehemu lakini naona kabisa dalili za kufeli
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…