Unazeeka jione hapa

Hizo lugha za kujitetea tu. Sasa si bora uache kipande cha karatasi kimeandikwa chochote kuliko upite tu kana kwamba haukuwahi kabisa kuishi mkuu.
Hahahahahahahaha utafanya watoto wakutukane tu
 
31..ndio kwanza niponipo tu hata bei ya tofali siijui, maisha bwana yakiamua kukupa kisogo
Aisee!!
Zile stori zako za vipindi vya redio Tanzania na matumizi ya vitu vya zamani (koroboi, pasi ya mkaa, n.k) kumbe ulikuwa una simuliwa na mwalimu.... mkiwa jikoni?

Acha nimfikishie huu ujumbe yule Msukuma mwenye jina la mnyama aje ashuhudie "uandaeitini" wako,ajue kuwa yote iliyokuwa unasimulia ulikuwa unajimwambafai [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukiwa na mawazo hayo utabweteka.
 
Wee acha tu huyu mzee wakati anaingia nilikuwa na 20+ sasa hivi nataamaki ngoma hii hii hapa 25+ [emoji15]

Ukileta mzaha unashangaa ngoma 30+ hii bado unayega yega.
For sure. Umri bana kitu cha ajabu sana unajiona bado bado kumbe ndio miaka inazidi kusonga
 
Huu uzi unanipa mashaka ya moyo. Nashangaa siku hizi nikipa sehem watu hawasemi baba, naambiwa mhudumieni mzee dah! Mwanzoni nilikua kama nashikwa na gubu nikakumbuka wakati ukuta, hauwezi kushindana nao.

Inabidi kujiweka sawa kwenda na majira.
Ha ha ha ha halafu huyo anaekuita hivyo sio mdogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…