Hata huko USA kupata nyumba (mortgage) ni moja ya hatua kubwa ndio maana huko suala la housing ni muhimu si kiuchumi tu hata kijamii.Kweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?
Maisha ni yale yale my lovely over 31 twinI didn't say that
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkubwa, mie nimeshangaa shkamoo zimeongezeka sana nikasema hivi shida ni niniHuu uzi unanipa mashaka ya moyo. Nashangaa siku hizi nikipa sehem watu hawasemi baba, naambiwa mhudumieni mzee dah! Mwanzoni nilikua kama nashikwa na gubu nikakumbuka wakati ukuta, hauwezi kushindana nao.
Inabidi kujiweka sawa kwenda na majira.
Hamna pa kwenda, mpira umerudi kwa kipaHongera pacha, we wa kishua....upo kwa mama na bado una smatfon na bando
Hauwezi kuwa siriaz, nyumbani kwetu (kwa wazazi ) hadi leo tunatumia pasi ya mkaa ( wewe utakuwa wa kishua). Kuhusu vipindi nilikuwa navisikiliza mwenyewe kabisa wala si kusimuliwaAisee!!
Zile stori zako za vipindi vya redio Tanzania na matumizi ya vitu vya zamani (koroboi, pasi ya mkaa, n.k) kumbe ulikuwa una simuliwa na mwalimu.... mkiwa jikoni?
Acha nimfikishie huu ujumbe yule Msukuma mwenye jina la mnyama aje ashuhudie "uandaeitini" wako,ajue kuwa yote iliyokuwa unasimulia ulikuwa unajimwambafai [emoji3][emoji3][emoji3]
Daaah pole sana mm akitoka nitakua na 35 asee.. punde tu hapa ndio nilikua nimebareheWee acha tu huyu mzee wakati anaingia nilikuwa na 20+ sasa hivi nataamaki ngoma hii hii hapa 25+ [emoji15]
Ukileta mzaha unashangaa ngoma 30+ hii bado unayega yega.
Mimi kwangu hayo ni mafanikio makubwa sana maana hata sina, na kumbuka toka mwanzo wa comment yangu tulikuwa tunaongelea masuala ya kujengaKweli huko bongo kuna matatizo makubwa ya kifikra. Yaani mtaalamu wangu wa sociology unataka kuniambia mtu akiwa na gari + nyumba basi ameshapata mafanikio ?
[emoji23][emoji23][emoji23] kama mbwai na iwe mbwai baridaa (in prof J's voice)Na ww unayapa kisogo kwani nn bwanaaa
Maisha ni yale yale my lovely over 31 twin
Hamna pa kwenda, mpira umerudi kwa kipa
Wakishua?!!!Hauwezi kuwa siriaz, nyumbani kwetu (kwa wazazi ) hadi leo tunatumia pasi ya mkaa ( wewe utakuwa wa kishua). Kuhusu vipindi nilikuwa navisikiliza mwenyewe kabisa wala si kusimuliwa
Ndo hivyo[emoji23][emoji23][emoji23] kama mbwai na iwe mbwai baridaa (in prof J's voice)
Kwa nini sasa unaona haiwezekani mtu wa miaka 31 kuwa ametumia pasi ya mkaa, kibatari and the like wakati kuna watu hadi leo wanatumia?Wakishua?!!!
Kwa mara ya kwanza nimevaa viatu "chachacha" tena vya kuazima siku ya mtihani wa darasa la saba. Ile narudi jioni nilimkuta mwenye navyo mtoni ananisubiri ili nimrudishie asije akajua mama yake kuwa aliazimisha viatu vya safari...
Miaka 31 ni kwamba kijana anaanza kujihudumia akiwa na miaka nane (1996...) na kuendelea,miaka hiyo ya 90's mambo mengi yalibadilika sana tofauti na tulio anzia makuuzi 80's na kurudi nyuma. Hata huduma za mawasiliano zilikuwa zimeanza, tv stations (Itv, Ctn,n.k),radio stations (Radio one, Rfa, Clouds, Radio Tumaini, n.k),mobitel, celtel, voda, n.k.Kwa nini sasa unaona haiwezekani mtu wa miaka 31 kuwa ametumia pasi ya mkaa, kibatari and the like wakati kuna watu hadi leo wanatumia?
Nimekulia kijijini mjini nimekuja kukaa nikiwa chuoMiaka 31 ni kwamba kijana anaanza kujihudumia akiwa na miaka nane (1996...) na kuendelea,miaka hiyo ya 90's mambo mengi yalibadilika sana tofauti na tulio anzia makuuzi 80's na kurudi nyuma. Hata huduma za mawasiliano zilikuwa zimeanza, tv stations (Itv, Ctn,n.k),radio stations (Radio one, Rfa, Clouds, Radio Tumaini, n.k),mobitel, celtel, voda, n.k.
Kwa umri wako ilikuwa ni rahisi mno kupata huduma za msingi kwa wakati labda tu kama ulikulia kijijini.