Usikariri maisha dogoKabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.
Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.
Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
Umemaliza kila kitu mie nkiwa na 26 nilikuwa nna mke,nyumba na gari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Mzee kabakiza kama miaka 6Siku zinaenda kwa kasi sana yaani sasa hivi 30 naona kabisa ilee naichungulia kwa mbali. Mpka huyu mzee atoke nitakuwa nimefikia.
Inabidi tusalimiwe humu aisee!!39
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa
Mzee kabakiza kama miaka 6
Mi napendaga hiyo Avatar yako tuYaani ukiona tu watu tegemezi wanaongezeka na wewe sio tegemezi tena ujuwe tu kuwa the clock is ticking.
2013 nilivyojiunga humu I used to call myself a young man, sasa hakyanani kichwa kimeanza mvi, ndevu zimejaa hadi sizipendi tena.
Uzee upo jirani sana, maisha ni mafupi sana...
Mkuu nje ya madaUmemaliza kila kitu mie nkiwa na 26 nilikuwa nna mke,nyumba na gari
Mimi katika umri wa miaka 28 Nilikuwa karibu na. Kila kitu isipokuwa gari ila alieniangusha ni mwanaume, Nilikuwa mpiganaji kweli kweliKabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.
Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.
Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
Kwani wewe ni mwalimu au upo halmashauri?39
Maisha yanaenda kasi sana jamani!!
Hebu nipeni connection wakuu! Na mimi niteembeemo nimekaa