Unazeeka jione hapa

Unazeeka jione hapa

sijui kwa nini nimefungua...maana haizoeleki
 
Daaaa!!! jua kweli lishazama,ila tatizo ni asili ya familia zetu na nchi yetu ndoo maana unaona jua limezama huku upo kama ulivyozaliwa.Bongo nyoso
 
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
Usikariri maisha dogo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka, sio kweli bwana watu wengine wamezaliwa na kismati, mtu anagraduate ana 25 let's say, mara moja anapata kazi ya mshahara 1m+ akifika 31 hana gari wala pagale atakuwa na tatizo mahali fulani kwenye kichwa chake
Umemaliza kila kitu mie nkiwa na 26 nilikuwa nna mke,nyumba na gari
 
Asante kwa kukumbushana, nina watoto japo wake sina, Mungu anirehemu.
 
Asee kumbe hizi shikamoo ninazokutana nazo ni haki yangu nilijua wananizeesha
 
Bora ufike uzeeni kuliko kufa kijana.
Kikubwa tuombe mwisho mwema
 
Yaani ukiona tu watu tegemezi wanaongezeka na wewe sio tegemezi tena ujuwe tu kuwa the clock is ticking.

2013 nilivyojiunga humu I used to call myself a young man, sasa hakyanani kichwa kimeanza mvi, ndevu zimejaa hadi sizipendi tena.

Uzee upo jirani sana, maisha ni mafupi sana...
 
Mi napendaga hiyo Avatar yako tu
 
Kabisa. Mimi huwa nasema haya maisha kwa Mungu ni kama kibao ni sekunde tu kugeuza mshale uelekee upande wa pili.

Mimi mpaka nikifika 45 sina kitu ndio ntasema hapa basi, lkn kwa hii 31 bado sana.

Na asikudanganye mtu, sister, ukiona mtu ana miaka 31 lakini tayari ana vitu vyote muhimu jua ni mwizi.
Mimi katika umri wa miaka 28 Nilikuwa karibu na. Kila kitu isipokuwa gari ila alieniangusha ni mwanaume, Nilikuwa mpiganaji kweli kweli
 
Back
Top Bottom