Unazingatia Vitu gani kabla ya kuingia kwenye Ndoa?

sasa c ndio ivo mkuu, sisi tunaacha, mbona freshi.
Fresh kufanya nini unaenda kumsaka kwa mara nyingine na kumtomba hajawahi kutombwa na una uhakika gani kwamba akikutana na Muhuni siwezi kumtomba? Kwa hio wewe ukitombewa unaacha ukitombewa unazila ma'mae utaacha wangapi? Maana hakuna Mwanamke asiependa kupigwa Pumbu

Acha ujuha
 
sasa hio life style yangu, na baadhi yetu, usitupangie vile unavyotaka wewe, kwani una waonea huruma tukiwaacha?, c anaendelea na wewe uliyemgonga au, kwani hutaki niwaachie uhuru 😂😂
 
Mi nashauri kabla ya kijana yeyote kuoa lazima ahakikishe ana uwezo kumhudumia mke haswa Kwenye mahitaji ya msingi ( chakula,mavazi na makazi).

Kwa lugha nyepesi Ni kwamba kijana usioe Kama huna sehemu ya kukuingizia kipato.
Yes haya ndio maoni yanahitajika Chief. Kuna hii wanasema wakati unasubiri ufanikiwe ndio uingie kwenye ndoa na Mungu nae anasubir uingie ndipo akufanikishe, wanaongeza kuwa safari moja huzaa nyingine.... unajichukuliaje hilo?
 
Hiyo inaweza kuwa Kweli bt huwa inatokea in rare cases.
Mwanaume unatakiwa utengeneze njia ya mafanikio so that mke akija atarahisisha safari kuelekea Kwenye mafanikio.
 
sasa hio life style yangu, na baadhi yetu, usitupangie vile unavyotaka wewe, kwani una waonea huruma tukiwaacha?, c anaendelea na wewe uliyemgonga au, kwani hutaki niwaachie uhuru 😂😂
Wewe SIO Mwanaume
 
Kwa sisi wanaume hatuangali uchumi wa mwanamke, nadhani wengi tunaangalia mtu wa kuwa mama na mke bora, mtu wa kuifanya nyumba iwe na furaha na amani.
Swadakta, 💯. Mwanaume hupaswi kuangalia suala la kiuchumi la mwanamke. Kuna hili suala la mwanaume kukwepa wanawake wenye UCHUMI mzuri kwa kuhofia dharau kutoka kwa wenzi wao. Wee unakionaje hili kwako unaliangalia pia?
 
Back
Top Bottom