Unazingatia Vitu gani kabla ya kuingia kwenye Ndoa?

Kila mmoja anaoa kwa sababu zake iwe ni kupata ngono,mpishi,mwekezaji mwenzake,mlinzi wa nyumba,mlezi wa watoto nk.
Hakuna mwanamke mwenge sifa zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…