Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Naomba uanzishe uzi wa ichokiandika.Watu tunahitaji kujua ukweli halisi wa mzozo huo. Na niwaambie watanzania wenzangu kuwa mambo mengi kwa bahati mbaya Yako kwenye lugha ya Kimataifa- kiingereza.
Taifa la Palestine lilianzishwa 1967. KABLA ya hapo kilichokuwepo, ambacho the League of Nations (siku hizi ni UMOJA wa MATAIFA) ilikuwa land of Palestine ambayo ilikuwa eneo lote la Israel ya Leo na Jordan eneo hilo lilikaliwa na Waarabu na Wayahudi. Na Muingereza alipewa agizo la kuanzisha Taifa la Waarabu na Taifa la WaJews. Pia kule Gaza wakazi wake halisi ni Bedouins (Mabedui)-Hamas wanawachukia Hawa pia. Mpango huo wa Uingereza, Majews waliukubali LAKINI Waarabu wakakataa na ndyo MWANZO wa vita ya 1947-48 ambayo Jews walishinda na kujitangazia Taifa la Israel. Lakini Waarabu walibakiwa na Jerusalem na Egypt wakaitawala Gaza. Mwaka 1967 Waarabu wakalianzisha tena. Ndipo Israel katika siku sita Ikatwaa Jerusalem, Gaza Sinai na Gollan Heights.
Egypt wakaona isiwe shida wakafanya Amani na Israel lakini wakataka warudishiwe Sinai tu, Gaza wakaikataa. Israel iliikalia Gaza ambapo Pamoja na mambo mangine walipeleka MAJI NA UMEME MPAKA LEO na Wapalestina hawalipi chochote. 2005 walipoondoka Hamas na AGENDA ZAO za Uislam wa MUSLIM BROTHER HOOD wakaamza kuiharibu Gaza. Hata walichimbua mabomba ya steel ili kutengeneza Rockets.
Kwa kumalizia ni waambie kuwa Waislam kama alivyo Baba yao wa zamani ni Wazuri sana kwenye propaganda na kututeka sisi waafrica kuwa ati Waisrael ni Makaburu ka ilivyokuwa Africa ya Kusini. NO. Kwani kule Africa ya Kusini mtu Mweusi hakuruhusiwa kuwa kwenye Serikali ya Makaburu, Wala kupata haki za msingi za raia. Israel Waislam wako huru na wananafasi kwenye siasa za Israel na kupata haki zote kama elimu na matibabu
Tatizo kwa Hawa wenzetu Waislam liko kwenye mafundisho ya Mtume Mohammad wao. Anafundisha chuki. Na hata watu wengine wa dini za Kikiristo, Hindu, Buddha hatuko salama.
View attachment 2781694
Umeongea ukweli ambao wengi hawajui.
Huwa nasema dini ya uislam inatengeneza chuki zaidi na kuleta machafuko duniani.
Japo wapo waislam wachache wanaojitambua na kuutambua ukweli.