lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Una habari yoyote kuhusu Jimbo la mexico city la USA,PUTIN hana moral yoyote kuifundisha Israel ustaarabu, yeye anachokifanya Ukraine ni nini kama sio kupora ardhi na kuikalia kimabavu?
putin ni war lord kama alivyo netanyahu, akae kimya waongee wengine
Una habari yoyote kuhusu
Eneo la Guantanamo bay la Cuba?
Una habari yoyote kuhusu kisiwa Cha Hawaii?
Kwa uchache TU.
Unajua kuhusu bifu la USA na mexico?
Achilia mbali historia ya wahindi wekundu wa Marekani