Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!

Naomba uanzishe uzi wa ichokiandika.
Umeongea ukweli ambao wengi hawajui.

Huwa nasema dini ya uislam inatengeneza chuki zaidi na kuleta machafuko duniani.
Japo wapo waislam wachache wanaojitambua na kuutambua ukweli.
 
Unamuongelea Putin yupi mkuu? Huyu kiungo wa Simba au yule anayepekekeshwa puta na Mr Zelesky? Hao Hizbullah soon watakipata wanachokitafutana usije kurudi tena hapa na misemo yenu " Pray for Lebanon"

Nimesikitika kuwa umeshindwa kumjua ni Putin yupi kuwa labda namwongelea Majaliwa:

"Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Vladimir Putiin, (pamoja na ukakasi Ukraine) rais wa Urusi."

Aya hiyo kumbe hukuiona kule kwenye mada kujua ni yupi?

Nikumbushe kuwa msingi wa hoja ni haki ndiyo maana hii nayo ilikuwapo:

"Kwa hakika Nyerere, Mandela, Tutu na wa namna hiyo wangekuwapo, wangesha walaani Israel na kuwaunga mkono Palestina. Kwa hakika wangekuwa wameyafanya hayo hadharani na mchana kweupe."

Kwa maana kuwa hata wewe, Samia, Zitto, Mbowe au hata Chalamila mkirejewa na akili zenu mkamlaani mwisrael na kumtambua mpalestina kutakuwa na maua yenu. Hii ni hata kama mmechelewa sana kugutuka.
 
Hata MK254 naye ni muhimu kumsikia tujue ni mahaba na Marekani au haki amtambue sasa Putin?

Yaani muue raia na kuchinja watoto halafu mtegemee kuungwa mikono, kila nikikumbuka walichokifanya HAMAS inabidi nifumbie macho haya majibu ya Israel.
 
Wapo lakini bado hawapo kama wayahudi. Angalia makampuni makubwa na Serikali nyingi za first world countries. Wangesubiri kama miaka 20 ijayo. Vijana wengi wa kizungu wavivu na hawataki shule. Wapalestina wamejiaminisha mapema sana. Wazungu pekee ambao naona wapo serious ni wayahudi. Amini kwamba kama kungekuwa hakuna visa. Ulaya nzima na Marekani ingeshikiliwa na waafrika na wahindi. Maana huku mazingira yanafavour masomo lakini vijana wao hawataki shule. Waarabu ni wavivu sana na ni wachache ni forward thinkers.
 
Yaani muue raia na kuchinja watoto halafu mtegemee kuungwa mikono, kila nikikumbuka walichokifanya HAMAS inabidi nifumbie macho haya majibu ya Israel.

Mkuu kumbe ni mahaba ya magharibi tu?

a) Russia, Ukraine hapo Russia mchokozi.
b) Palestina, Israeli hapo Israel mchokozi.

Kumbuka ardhi ya Palestina imevamiwa na kuckuliwa:

a) Taifa la Israel lilipoasisiwa 1948
b) Ardhi zaidi ikanyakuliwa 1967 na 1973.

Ilipo Gaza ni gereza kama shimo la Tewa tu:

"Often described as an “open-air prison,” the Gaza Strip is perceived as a symbol of the Palestinian cause. For 16 years, no one has been permitted to leave without special authorization from Israel."

Katika kipindi chote Cha uvamizi walishauawa makumi elfu ya wapalestina na walio hai hawana tofauti ya wafu.

Kumshambulia mvamizi Mau Mau style. Kumbe hata Mau Mau hawakustahili kuungwa mkono?
 
Hamas watandikwe ndio njia pekee ya kuishi na mwarabu

Palestina anapigania ardhi yake dhidi ya mvamizi:

1. 1948 ardhi yake alipokonywa kutengeneza taifa la Israel.
2. 1967 na 1973 akapkonywa tena zaidi.
3. Ilipo Palestina yaani Gaza na West Bank ni magereza yasiyokuwa na paa. Wamezungushiwa fence hamna kutoka wala kuingia bila ruksa ya Israeli.

Mkuu kumbe ni mahaba ya magharibi tu?

1) Russia, Ukraine hapo Russia mchokozi.
2) Palestina, Israeli hapo Israel mchokozi.

Kumbuka ardhi ya Palestina imevamiwa na kuchukuliwa:

1) Taifa la Israel lilipoasisiwa 1948
2) Ardhi zaidi ikanyakuliwa 1967 na 1973.

Ilipo Gaza ni gereza kama shimo la Tewa tu:

"Often described as an “open-air prison,” the Gaza Strip is perceived as a symbol of the Palestinian cause. For 16 years, no one has been permitted to leave without special authorization from Israel."

Katika kipindi chote Cha uvamizi walishauawa makumi elfu ya wapalestina na walio hai hawana tofauti ya wafu.

Armed struggle dhidi ya mvamizi haiwezi kuwa haramu. Kumbuka Mau Mau Kenya, ANC SA, Mugabe Zimbabwe nk.

Kulikoni kuwa na roho ngumu hivi kwa binadamu wengine?
 
Huijui historia vizuri kaisome tena. Wakat wa ottoman empire jews na waarabu wote waliishi pamoja kwa amani. Shida ilitokea walipokuwa wanauwawa wale waliotawanyika Dunian wakaamua kurud na awali wengi wao waliuziwa ardhi na hao hao Palestine. Walipokuwa wengi ndio ugomvi ukaanza kati arabs na Jews group. Kila jamii ikawa na jeshi lake muingereza alivyoona amezidiwa akaipeleka kesi UN. Wao wakaamua pawepo na 2nations arabs wakakataa ndio Jews wakatangaza taifa lao. Hata hivyo hao wote ni white people Chief nawashangaa wanaowaonea huruma arabs wakaacha kuwaonea huruma watu wa Congo wanaouliwa cku zote au black people huko Darfur Sudan
 
Utawadanganya ambao hawajafika uarabun. Mi nimejaliwa kukaa nao miaka Karibu 10 nazunguka maeneo yao coz moja ya biashara yangu nafanyia kwao. Katika kusafir kwangu hakuna watu wabaguz na wenye Roho mbaya kama mwarabu. Akifuatiwa na mhindi sema ni wabaguz kwa watu weusi. Ila Roho mbaya wamejaliwa. Juz Kati nilikuwa Al Alain kuna binti wa kikenya walichokuwa wanamfanyia ilibid niende ubalozin kwao waje kumuokoa na sio mmoja.
 
Waarabu wamegawanyika wengi mno, Palestina, Lebanon, Syria, Jordan na waarabu wengine wa ukanda huu wanaitwa Levant Arabs, by Appearence wapo kama Wataliano, spain, Ugiriki etc. Huu ukanda wapo vyema mno, iangalie hii list halafu niambie wana miss nini

1. Steve Jobs muanzilishi wa Apple Kwa muda mrefu yupo Top 10 ya Matajiri Duniani.

2. Carlos slim aliempindua Bill Gate kama Tajiri mkubwa Duniani 2010-2013 na bado mara kwa mara yupo top 10 ya matajiri Duniani.

3. Nicholas Hayek hapo Uswiss ni Bilionaire mkubwa

4. Ukienda Nigeria unamkuta Gilbert Chagoury Net worth $7B anakimbizana na kina Dangote

5. Ukienda Brazil Unamkuta Joseph Safra na wanawe huyu jamaa anakua tajiri zaidi ama no 2 pale Brazil

6.hapo Usa kuna Mabilionea wanaweza fika hata 30 ama zaidi kuanzia Naify Family, Tom Gore, Richard Rainwater,

Kila sehemu unayogusa ikiwa Ulaya, Marekani, Marekani kusini hadi Africa wapo, ni ukanda mmoja tu huo, wana Hela na influence ya kutosha.

Ila wanachopigana nacho sio hela, sio influence bali ni uzayuni.

Tafuta deal lolote haramu kubwa kubwa hao jamaa unawakuta.
1. Nenda Congo watoto wanaochimbishwa madini utakutana na zionist
2. Makundi ya Kigaidi wanafadhili wao
3. Assassination za Viongozi mbalimbali duniani na kupindua serikali etc.

So hawa sio watu ambao wanapinduliwa na utajiri ama Connection ni kama Nazi ama Fascists wengine, unahitaji kusimama kisawa sawa kushindana nao.
 

Tatizo unakaririshwa pumba huko misikitini badala utulie utafiti na kusoma issue yote kihistoria, tafuta mtu akuelimishe historia ya pale yaani hata usitumie vitabu vya dini kama Biblia, jielimishe historia kamili.....
Pili, nawaona kama mazombi wa ajabu sana mnashabikia kile HAMAS walifanya, yaani kila nikitaka kusikitika kwa Wapalestina halafu nione comments zenu najikuta siwahurumiii tena, naomba Israel waendelee kutembeza kichapo.
 
Sawa kwa hio waarabu wanadanganya kwa kumuweka mtu mweusi Awe kiongozi wao sio?

1. Mukiuana humu Mauaji yote ya Zanzibar watu wanakimbilia Oman na wanapokelewa wanapewa opportunities kama wengine

2. Wakati wote wa Ukoloni waliokimbia Africa wamepewa hifadhi Arabuni, Saudi pekee asilimia 10 ya Raia wake ni watu weusi ambao wanaishi eneo la kandokando ya Mecca. Asili yao ni Nigeria wamekimbia Ukoloni, ndio hao tunawaona hadi world cup.

3. Tumeona Saudi, Oman, Kuwait etc Royal Family zenye watu weusi. Sijawahi sikia Royal Family ya kiarabu ikifanya Assassination sababu mtoto sio damu yao, wana rise hadi wanakua Wafalme, huko kwengine sasa.

Kuhusu hao wadada hizo case zipo nyingi mno na sio rahisi kwa serikali za kiarabu kuzihandle Tushazungumzia sana humu mfano hio Al ain unayosema ni Dubai? Hapo UAE asilimia 10 tu ndio wenyewe raia na asilimia 90 ni wageni kuna ushenzi wa kila namna kama huja enda official unategemea nini? Mbona wa Filipino wengi wanatoboa? Ukiondoka Nchini kwako hakikisha Ubalozi wako wanajua, serikali unapokwenda wanajua, unajulikana unafanya kazi kwa nani hakuna atakae kuzingua na ikitokea umefanyiwa kitu kibaya sheria itafuata mkondo wake.
 
Naomba uanzishe uzi wa ichokiandika.
Umeongea ukweli ambao wengi hawajui.

Huwa nasema dini ya uislam inatengeneza chuki zaidi na kuleta machafuko duniani.
Japo wapo waislam wachache wanaojitambua na kuutambua ukweli.
Nitajaribu kufuatia ushauri wako. Ila ninachoona Mode wako biased sijui kwa maelekezo!!?? kila mara ninaweka Uzi unaofichua ukweli kuhusu Uislam, wao wanafuta
 

Matusi au kejeli ya nini? Acha kudhalilisha dini za watu. Majadiliano yanaweza kuwa ya kistaarabu. Hata Mod hawawezi kufurahi namna yako hiyo.

Kumbuka yule nabii Ezekiel Odero, New Life Church hakuwa mwislamu!

"Palestina Iko chini ya uvamizi wa Israel. Maeneo yao makubwa yako mikononi mwa Israel." Mipaka ya biblia (Kwa mujibu wa Pastor Ezekiel) Iko tofauti na ya kwenye Quran. Historia Iko wazi na mataifa yote yanajua.

Kama Mau Mau (au armed struggle yoyote) ilikuwa halali, HAMAS kupambana na Israel hakuwezi kuwa haramu.
 
Hayo yote yanazungumzika ni tatizo la kila mmoja kukaza shingo na kujiona ana haki zaidi ya mwengine hakuna maelewano bila kutenganishwa na meza mkaangaliana machoni dhamira zenu!

Maneno kuntu kabisa kutoka kwako natamani yangekuwa rasmi kutoka CCM na serikali yake.

Hizi digrii za miaka 3 kuelew katiba ni katika yale mambo yetu ya kila mwamba ngozi kuvutia upande wake
 

Nimekuambia usome historia, pastor Ezekiel sio historia, tafiti wacha kukaa unakaririshwa, issue ya pale haitaki mihemko ya kidini.
 
Nimekuambia usome historia, pastor Ezekiel sio historia, tafiti wacha kukaa unakaririshwa, issue ya pale haitaki mihemko ya kidini.

Historia hiyo inafahamika mno ndugu wala usidhani kuna rocket science hapo.

Causes of the 1948 Palestinian expulsion and flight - Wikipedia

Wapalestina 700,000 walifukuzwa hapo 1948. Mengine ni kama ilivyo kwenye mada. Yote hayo ni history.

Uhalisia wa mambo tulipo ni kuwa:

Since the 1967 international armed conflict between Israel and its neighboring States that triggered the application of the four Geneva Conventions of 1949, the Palestinian territory has been under the authority of the Israeli army."

Dunia inajua Israel inakalia ardhinya wapalestina.

Ninakazia:

Palestina ina haki ya kupambana na mwizi wake w ardhi.

Kama ni historia kila mtu ana yake. Huwezi na historia yako peke yako isiyokubalika na wengine. Huo utakuwa ujambazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…