Undumila kuwili wa wamaagharibi mgogoro Gaza, Putin Dume!


Unaongea kuhusu historia ya juzi sana, nimekuambia fanya utafiti wacha kukaririshwa.
 
Urusi kabanwa huko kwake.

Msingi wa mada ni katika kumwunga mkono Palestina kama mtu anayepambana na mwizi wa ardhi yake

Mvamizi hawezi kudai haki yake ya kujilinda kwenye maeneo ya wizi.. Yeyote akisimama na Palestina kwenye hili anastahili maua yake

Putin yuko hapa Kwa kutouitika upuuzi wa wamagharibi kusimama na Israel kwa lolote dhidi ya Palestina.
 
Unaongea kuhusu historia ya juzi sana, nimekuambia fanya utafiti wacha kukaririshwa.

SIsi tunaongelea international law siyo disputes (hadithi) za Kilimanjaro ni Kenya, Kagera ni Uganda au Mingino island ni Uganda, au Kenya's waters in the Indian ocean ni Somalia?


Hatuandiki hapa from nowhere. Acha ujuaji ndugu.

Tafadhali jikite kwenye mada.
 
PUTIN hana moral yoyote kuifundisha Israel ustaarabu, yeye anachokifanya Ukraine ni nini kama sio kupora ardhi na kuikalia kimabavu?
putin ni war lord kama alivyo netanyahu, akae kimya waongee wengine
 
PUTIN hana moral yoyote kuifundisha Israel ustaarabu, yeye anachokifanya Ukraine ni nini kama sio kupora ardhi na kuikalia kimabavu?
putin ni war lord kama alivyo netanyahu, akae kimya waongee wengine

Kumbe nani anayo ndugu? Si walisema heri nusu shari? Hapa chini yapo kwenye mada:

Maneno kuntu kabisa kutoka kwake Vladimir Putiin, (pamoja na ukakasi Ukraine) rais wa Urusi.

Au hukuyaona ndugu?

Hao wenye moral authority wamefanya nini, hata?
 
I
ngekuwa simpo hivo hao waarabu wenzao Yemen Syria Iraq wasingekimbilia ulaya Wakat wenzao hela ipo mingi. Waarabu ni Mashetan wenye miili ya binadamu Chief. Ngoja nikuulize jambo. HIV serIkali yako ilivyowahamisha wamasai kwa nguvu eneo lao la asili umefanya nini mkuu? Au wao sio binadamu.
 
Huwezi fananisha issue ya wamasai na hii hata kidogo. Wamasai hawapelekwi Kenya ama Sahara desert wapo hapa Hapa Tanzania na haki zote wanazo.

Na hao waarabu unaosema ni mashetani ndio kila siku wanakusaidia tena bila masharti wanatoa sababu wanajua kesho watakikuta kwa mungu.

Niliwahi kuandika humu kinchi kidogo tu cha Kuwait.
1. Ndio kimesaidia kukomesha wakati MA Albino wanauliwa
2. Wamekupa misaada ujenge daraja la Mkapa
3. Dodoma ukame wote wakaja kukujengea visima vikubwa upate maji
4. Hizo barabara ndio usiseme.

Kuna mdau alileta Deni la Taifa humu majority Tunadaiwa na hao hao waarabu na Wairan.

Jiulize huyo unayemuita Shetani umemsaidia nini wakati yeye anakusaidia kila siku.
 
Wasipoangalia hapa vita kuu #3 ya Dunia inanukia.

"Bila kusahau Iran iko na Palestina na Hizbolla. Na Iran Iko na Urusi."

Cc: MK254
kwani ulikua hujui kuwa nchi hizo ni kitu kimoja na wapalestina? Wawe makini sana kwenye mgogoro huu la sivyo nao watakula kisago cha mbwa koko
 

Nimekuambia tumia historia sio hadithi, kuna maugomvi dunia hii hauwezi kukurupuka bila kusoma historia na kuelewa yalikochipukia. Wacha kukaririshwa mambo ya ajabu kisa dini.
 
Aise
e umeongea upuuzi wa hali ya juu. Yaan wamasai uwatoe nchini ya ya asili uwahamishie usambaan ni sawa kwako japo wamekataa na wengi kuuwawa na kuumizwa. Kila siku unasikia wanafukuzwa wachungaji na ng'ombe zao kila mahali kwasababu kwao mliwafukuza. Wewe kwako ni sawa pumbavu kabisa. Misaada hata shetan anaweza kukupa Chief ni wewe tu ukubaliane na mashart yake. Narudia tena kukuambia katika nchi 57 nilizotembea hapa dunian na katika jamii nyingi Mungu alizonipa nafas kuziona mwarabu ndio shetan kabisa. Zaman nilifikir wazungu ndio wabaguz kupita kias kumbe nilijidanganya. Jichanganye huko vijiijn au vimji vidogo uarabun ndio utawajua hawa sio watu. Nimekutolea mfano pale Darfur Sudan. Haya kwanini hampigi kelele pale Morocco anachowafanyia jamiiforum ya saharawi kwakuchukua nchi yao. Au kwanini hammuongea madhila wanayopitia wakurd Kati ya turkey Syria Iran na Iraq? Na unavyosema wameporwa nchi yao hao walioporwa na waliopora si walishakufa. Unataka mjukuu aliyewazaliwa hapo aende wapi. Ni kama mwarabu aliyezaliwa Tanzania umwambie arud Oman. Kwa nani.
 
Nimekuambia tumia historia sio hadithi, kuna maugomvi dunia hii hauwezi kukurupuka bila kusoma historia na kuelewa yalikochipukia. Wacha kukaririshwa mambo ya ajabu kisa dini.

Ugomvi hautanzuliwi kwa mujibu wa historia bali kwa mujibu wa sheria haijali wewe ungetaka iweje. Kwani wewe ni nani ndugu?

Vinginevyo Mingino island ingekuwa Uganda, sehemu ya maji ya bahari ya Hindi inayozozaniwa ingekuwa Somalia na mlima Kilimanjaro ungekuwa Kenya.

Migogoro hutanzuliwa Kwa mujibu wa sheria:



Punguza mahaba kwa wa magharibi.

Haki ya mtu haiwezi kutegemea mahaba ya watu na hasa walamba makombo.
 

Narudia tena, sio kila migogoro ya kukurupuka kwa hizo hisia za kidini na kukaririshana huko, kuna mingine ina historia ya mbali sana.
Kuna mwenzako ametumia ubongo kudadavua huu mgogoro bila hisia za kidini, fuatilia huku labda utajifunza kitu Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts, ni Muislam lakini kaweka dini kando kuelezea ukweli, someni alichoandika
 
wee mpigie Yahudi Putin Kumbe hujui Anamsaidia Yahudi Kwa kipunjo??
Shangaa kama kuna mrusi Aliye andamana kuipinga Israel!!
Halafu jiulize jihad zote nchi za kiarabu baada ya Kuabudiwa na mrusi ipi imefanikiwa??? 👂

Shituka bro!
 
Naomba uanzishe uzi wa ichokiandika.
Umeongea ukweli ambao wengi hawajui.

Huwa nasema dini ya uislam inatengeneza chuki zaidi na kuleta machafuko duniani.
Japo wapo waislam wachache wanaojitambua na kuutambua ukweli.
Von Bismarck nimeanzisha Uzi kama ulivyoshauri " Ukweli kuhusu wakazi halisi wa nchi Takatifu"-habari mchanganyiko"
 

Wewe ni zaidi ya hawa?



Kwamba?

"Israel occupation is unlawful."

Kama hutaki, kakate rufaa, si kukomaa ndugu.
 
wee mpigie Yahudi Putin Kumbe hujui Anamsaidia Yahudi Kwa kipunjo??
Shangaa kama kuna mrusi Aliye andamana kuipinga Israel!!
Halafu jiulize jihad zote nchi za kiarabu baada ya Kuabudiwa na mrusi ipi imefanikiwa??? 👂

Shituka bro!

Unashindwa kufahamu kuwa mada Wala si kuhusu mapigano.

Mada ni kuhusu Palestina kuonewa. Kwamba hata alichofanya HAMAS ilikuwa ni kwenye kupambana nawizi wake.

Mwizi (wa ardhi) hawezi kuchagua mkong'oto wake.

Ndiyo maana walikumbukwa kina Nyerere, Tutu, Mandela, Winnie na wa namna hiyo kuwa wasingekaa kimya.

Putin kama wao kaonyesha njia.

"Haki ni haki, hata kama ya jambazi."

Hapo ndipo tunapoachana njia panda.
 
Wewe ni zaidi ya hawa?

View attachment 2782654

Kwamba?

"Israel occupation is unlawful."

Kama hutaki, kakate rufaa, si kukomaa ndugu.

Haya mapicha hayasaidii kitu, nimekuambia na narudia kuna migogoro dunia hii inabidi ujielimishe historia, tatizo mumeshikiliwa akili hamna ujasiri wa kuthubutu kujiongeza.
Hamtokaa muifute Israel, mumejaribu miaka mingi na kila mkijaribu Israel wanamega ardhi zaidi.
 
Mkuu Tukubali kutokubaliana we ni hater chochote nitakachosema hutakikubali sababu moyo wako tayari unaamini hilo.

Mfano hio Morocco itengwe mara ngapi? Nchi nyingi Duniani hazina mahusiano mazuri na Morocco iwe Za Kiarabu hadi Tanzania. Toka Kipindi cha Nyerere nchi ambazo hatuna mahusiano nazo ni Israel na Morocco. Kuieka hapo tayari inaonesha unaongozwa na Chuki badala ya uhalisia, Algeria na Morocco haziendi,

Mfano Algeria wanatambua Uhuru wa Western Sahara

Israel wanakubaliana na Morocco kuikalia kimabavu Western Sahara


Hivyo unaona mambo hayapo kama unavyotudanganya, Zipo Nchi za Kiarabu zipo against kama vile Yemen, Algeria, Syria, Libya Etc. Pia nchi nyengine ambazo haziendi sana na West kama Iran, Vietnam, Mexico etc zote zina support Western Sahara.

Hao machampion wako wenye Roho nzuri kama Usa na washirika wake wa West wote wanasuport Morocco kuikalia kimabavu Western Sahara.

Na Darfur siku zote ni sehemu yenye vita na tunajua nani wapo nyuma, siku nyingi tu hio nchi inapigana proxy wars za Magharibi na Urusi na sehemu nyengine, kama Ilivyo Isis na vikundi vingine has nothing to do na hao unaowasema.

Same kwa hao wakurdi sio black and white kama unavyofikiria kwamba waarabu hawawapendi wakurdi, kuna varieties kibao kila mmoja na maslahi yake, na wakurdi wanaishi kwa amani hizo nchi vita vipo tu kwa Nchi ambazo Wakurdi wanafanya uasi.
 

Hayo siyo mapicha ndugu. HIzi ni hukumu tokea world bodies huko. Hakuna historia yenye kuishinda sheria kwenye jambo lolote.

Zingatia Ruto yuko ofisini huko si kwa mujibu wa historia bali sheria.

Bila sheria animalism kama ya Israeli inachukua nafasi. Hiyo haikubaliki na mpalestina anayo haki ya kujilinda.
 

Shughuli ya pale Gaza pitia historia kuielewa, hii mifano unatumia sijui mara Ruto, mara Migingo wala haisaidii kitu.
Kuna migogoro ya kipekee duniani inataka ushirikishe ubongo kuielewa.
Kila mkizingua, Israel inajimegea ardhi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…