lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Una habari yoyote kuhusu Jimbo la mexico city la USA,PUTIN hana moral yoyote kuifundisha Israel ustaarabu, yeye anachokifanya Ukraine ni nini kama sio kupora ardhi na kuikalia kimabavu?
putin ni war lord kama alivyo netanyahu, akae kimya waongee wengine
Shughuli ya pale Gaza pitia historia kuielewa, hii mifano unatumia sijui mara Ruto, mara Migingo wala haisaidii kitu.
Kuna migogoro ya kipekee duniani inataka ushirikishe ubongo kuielewa.
Kila mkizingua, Israel inajimegea ardhi zaidi.
Iko nje ya mada ndugu. Hata hivyo Dunia si wajinga kutaka kujihesabia haki wewe kijiweni:
View attachment 2782800
Haya mapicha nimekuambia hayasaidii kitu, Israel wamezungukwa na magaidi ya kidini ambao dini yao imeamrisha Wayahudi wauawe hadi wa mwisho, hivyo lazima wakae kimabavu...
sahih muslim 2921
Abdullah b. 'Umar reported Allah's Messenger (ﷺ) as saying:
You and the Jews would fight against one another until a stone would say: Muslim, here is a Jew behind me; come and kill him.
Endelea kuota ndugu suala la haki na ukiukwaji wa haki ni la kiuhalisia (real) na kuwa mchokozi hushughulikiwa kisheria si kiimani.
Kaa hapo hapo na Imani zako ndugu.
Israel ni mvamizi kama tu Idd Amin pale Kagera je na sisi tulivyomvurumusha tulikosea?Kwa hiyo Hamas waue na kuteka waisrael Huku mnashangilia utekaji huo na kuwaita hamasi ni mashujaa, Israel imeisha ni dhaifu halafu Israel wawachekee! Hakuna nchi ambayo inaweza kuvumilia uchokozi wa hamasi.
Israel ni mvamizi kama tu Idd Amin pale Kagera je na sisi tulivyomvurumusha tulikosea?
Wanachofanya Ukraine ndio hiko hiko anafanya Hamas but huu unafiki ni kwa faida ya nani?